Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Ile nyie timu mond mnanichekesha mnaposema eti seduce ya kawaida bali imepandishwa na wenye chuki na mond, kwahiyo hata wanasiasa wanamchukia mond, hamuoni kwamba nyie ndo mna chuki na alikiba kuona katoa wimbo umekubalika na watu, kwann hamtaki kukubali ukweli kwamba wimbo mkali kwani mond katoa nyimbo ngapi na zimependwa mbona ss hatukusema ni chuki zenu kwa kiba ndo maana wimbo umependwa?? Acheni roho zenu za kimaskini kubali kiba kaweza kuwaseduce this time.. Halafu Tz sio mond tu ndo awe juu kila msanii atakaetoa wimbo mzuri tunamsaport.. Sa HV mm team mziki mzuri, [HASHTAG]#teamkiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#teamaslay[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante umemaliza kila kitu[emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mnahamasishwa mpende nyimbo za kiba haya endeleeni, na amshukuru Mange bila ya hvyo angekuwa na views elfu 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wamama wa humu Vp? Kwani huyo Hamisa ndo wa kwanza kuzalishwa na kuachwa? Kuna ma single mamas kibao hebu acheni shobo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuandika siasa mkuu Na mambo mengine ya kijamii tu
Ina ji pove wrong kaka
____________________
Mawingu hawawezi kumchukia diamond hata cku Moja maana inavyosadikika mabosi wa mawingu wanamkono kwenye kila anachofanya mondi.
 
naona simu imezima ghafla, nafikiri inabidi nikupime mkojo
 
Hakuna kitu kama hicho wangekuwa wana lengo la kumshusha mond wangekuwa hawapigi nyimbo za wasanii wa WCB maana hakuna WCB bila diamond.
Hizo ni propaganda za mashabiki hakuna kitu kama hicho kabisa, clouds wanafanya biashara na Rock Star wanajua kwa kipindi cha fiesta ambacho diamond hashiriki kiba mashabiki watakuwa wanamsubiri kwa hamu so lazima wampe promo.
It's all about business nothing personal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…