me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nyie timu mond mnanichekesha mnaposema eti seduce ya kawaida bali imepandishwa na wenye chuki na mond, kwahiyo hata wanasiasa wanamchukia mond, hamuoni kwamba nyie ndo mna chuki na alikiba kuona katoa wimbo umekubalika na watu, kwann hamtaki kukubali ukweli kwamba wimbo mkali kwani mond katoa nyimbo ngapi na zimependwa mbona ss hatukusema ni chuki zenu kwa kiba ndo maana wimbo umependwa?? Acheni roho zenu za kimaskini kubali kiba kaweza kuwaseduce this time.. Halafu Tz sio mond tu ndo awe juu kila msanii atakaetoa wimbo mzuri tunamsaport.. Sa HV mm team mziki mzuri, [HASHTAG]#teamkiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#teamaslay[/HASHTAG]seduce me ngoma ya kawaida saana sijaona ukali wake sema chuki za watu kwa diamond, hata muziki ya darassa haikua kali ila team kiba na madui wote wa diamond waka join forces ili kumumiza diamond ndo muziki ika hit ila asaivi iko wapi? ni nyimbo ya kawaida tuh. diamond nouma na awa muezi ushauri mzuri umempa mkuu. diamond level nyingine.
Hahahaaa et jamani mtu aache kuwachukia hao waloikamata tz amchukie domo? For what ? Yaani hawana hoja nyingine zaidi ya kusingizia chukiMbona Mengi,bakheresa,Mohamed dweji na aliko dangote hawachukiwi...au unawazungumzia wakina nani?
Mkuu asante umemaliza kila kitu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Ww acha ujinga sasa mbona kiba kawa kimya zaid ya mwaka mzima hajatoa wimbo wowote unaanzaje kusema anashindana na mond , afu hata kiba sio wa bei Poa acha umbea.
Mwambie tu diamond kinacho mcost sasa hiv ni dharau zake ( rejea kauli zake za kuhusu tunzo za EATV ) na hizo redio sasa hiv zinasambaa sana mikoan East Africa redio wanasikilizwa mikoa mingi sasa, hivyo hivyo Efm na zingine kama ana wadharau hao lazima coverage ya nyimbo zake iwe kidogo
Japo nimependa ushauri wako 1 awe balanced kwenye media
Kiba anafanya mzik wake na huyo mond Ndiyo anaonesha ni mwenye roho mbaya na uswahili mwingi ( jiulize kwanin alitaka kumharibia kiba kwa kutoa ngoma siku moja na kiba kama ilikuwa ni kupima nani atafanya vizur majibu yamepatikana)
Ishu nyingine ukubal ukatae kuingia bifu na watoto wa kike lazima upoteee tu hao Ndiyo Mara nyingi wanasikiliza sana nyimbo zao hao wasaani na hata kwenye show Ndiyo wadau wazuri ( wanaume huwaga hatuna sana time kufuatilia nyimbo kutokana na majukumu ya kimaisha muda mwingi tupo bize ) sasa bwana mdogo tabia zake za kuwadharau hao wadada Ndiyo shida inaanzia hapo ( hao nasikia wana team zao ambazo zina nguvu sana na kwa umoja wao ni rahis kujenga ushawishi au kuharibu )
Namkubal diamond kama real fighter wa kusaka maisha lakin ukifanikiwa sio uwe jeuri na kuanza kudharau au kejeli kwa wale unaohis umewazidi na ishu ya mwisho inabid amkanyee mkewe apunguzee drama za kipuuz na majibu ya ovyo nazan wengi wanaweza kuwa wanamchukia kisa yule demu kwa kuonesha ana nyodo
Ishu ya muhimu arudi njia alizopita kujenga ushawishi mwanzon ( ishu ya bei ni haki yake kuweka bei kubwa ana team kubwa sasa akiweka bei kidogo atawezaje kuwalipa watu)
Kiufupi hawa wote ni vijana wa kitanzania mafanikio yao ni faida kwetu ila sio ubaya kuona kiba anaendelea kufanya vizur na kusema anamtegemea diamond hiyo ni kumvunjia heshima kiba ameanza kutoa hit song tokea enzi za 2005 had Leo ( rejea, cindelela, my everything n.k) kila mtu ana style yake
Sent using Jamii Forums mobile app
PointNgoma ya Kiba ilipotoka mwanzo wakiidhihaki kwa kuwa bongo ishakuwa nomo kuiga pigo za kinaijeria now days, nlichogundua ni kwamba Kiba hapelekeshwi na soko la muziki bt yeye analipeleka soko anapotaka, na ndo maana mara nyingi huja na ngoma zenye mtindo tofauti na zile ambazo zinakuwa kwenye soko kwa kipind husika na hii ndo sababu pengine hadi leo hatujawah sikia mtu kulalamika kuibiwa wimbo au idea na Kiba, back to diamond n msanii mzur kama utamlinganisha na wasanii wengne tofauti na Kiba,barnaba,Belle 9, katika uimbaji haswa kwa upande wangu coz alichowazid hao jamaa ni pesa tu na siyo uwezo wa kuimba
Bila kusahau shangazi zakeAkiwemo mama yako mzazi, Dada zako na wewe mwenyewe
Chunga kauli zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nani uyo
Simjui
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu humjui ommy dimpoz au hutaki kukubali ukweli kwamba ni babaake mondSimjui
Sent from my Phillips Savy
Baba wa diamond ni Abdul sasa sijui uyo una maana gani na pia mwanaume utajiitaje dimpoz[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu humjui ommy dimpoz au hutaki kukubali ukweli kwamba ni babaake mond
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba wa kambo ni babaBaba wa diamond ni Abdul sasa sijui uyo una maana gani na pia mwanaume utajiitaje dimpoz
Sent from my Phillips Savy
Una uhakika?