Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Dai naona amehama katika njia aliyotokea, DAI hakua mtu wa kauli za kujikweza, hakua mtu wa kujibu hata pale magazeti yalimuandika vibaya. Sa sijui kimempata nini masikini ya Mungu. Yani ile sifa ya uwanaume inamponyoka dah, nilikua namuelewa sana pale alipokua anakaushia matusi, lkn leo yeye ndiye mtoa vijembe!
 
Sure mkuu siku hizi amekuwa mtu wa kujibu kila kitu sijui nini kimempata.
Mara ya kwanza ilikuwa kuwa kiba ndiye anamtafuta diamond na diamond hamsemi kiba lakini juzi game limechange.
Siku hizi diamond anapost ujinga ujinga hilo linampotezea sifa. Yani angekuwa kama zamani asingepata kipigo alichopata hii week yani kajichanganya na bado atazidi umia.
Kuna tuzo wanashindania nje yeye na alikiba kwa mwendo huu na uhamasishaji huu, I am sure kura za kiba zitakuwa nyingi.
I think kama mdau alivyosema inabidi aache sana post kwenye social media aweke mtu awe ndiye anadeal na kupost na awe anapost kazi kazi tu mengine yanayoongelewa juu yake awe anapiga kimya kama zamani.
Yani alikuwaga anakaa kimya kiasi kwamba ikitokea ameongea watu watasema aisee kaongea kwakuwa yamemfika shingoni kasemwa sana ila siku hizi full kujibu tu.
 
Wajiandae kustaafu hawatujui tukiamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kama wewe unastahili kutukanwa yaani Alikiba kafanya vizuri unaanza kulalamika akifanya diamond hakuna anayelalamika mara ngapi diamond kasifiwa kwa kufanya vizuri hakuna aliyepinga iweje kwa kiba?Ina maana wewe unaona hastahili?huu ni UKUKU
 
Unalala na mwanamke unamtia mimba alafu badae unakuja kumuita Bitch?Diaomond hiyo umekwaaza wanawake karibia wotee sio hamisa tu.Binafsi nilikua fan wako mkubwa tu.Sifa zimekuzidi sana kijana unaanza kua mpuuz flan.
 
Naona umeandika gazeti

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…