Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Dai naona amehama katika njia aliyotokea, DAI hakua mtu wa kauli za kujikweza, hakua mtu wa kujibu hata pale magazeti yalimuandika vibaya. Sa sijui kimempata nini masikini ya Mungu. Yani ile sifa ya uwanaume inamponyoka dah, nilikua namuelewa sana pale alipokua anakaushia matusi, lkn leo yeye ndiye mtoa vijembe!
 
Napita tu kukukumbusha, huko youtube hali ni mbaya kwa huyo unaemtetea..Muziki ni hisia, sasa hiyo zilipendwa unapata hisia gani? Ubora wa kazi ndio unaongea...
17d0e5dab9539b99ac34b4ded2033c5f.jpg
 
Dai naona amehama katika njia aliyotokea, DAI hakua mtu wa kauli za kujikweza, hakua mtu wa kujibu hata pale magazeti yalimuandika vibaya. Sa sijui kimempata nini masikini ya Mungu. Yani ile sifa ya uwanaume inamponyoka dah, nilikua namuelewa sana pale alipokua anakaushia matusi, lkn leo yeye ndiye mtoa vijembe!
Sure mkuu siku hizi amekuwa mtu wa kujibu kila kitu sijui nini kimempata.
Mara ya kwanza ilikuwa kuwa kiba ndiye anamtafuta diamond na diamond hamsemi kiba lakini juzi game limechange.
Siku hizi diamond anapost ujinga ujinga hilo linampotezea sifa. Yani angekuwa kama zamani asingepata kipigo alichopata hii week yani kajichanganya na bado atazidi umia.
Kuna tuzo wanashindania nje yeye na alikiba kwa mwendo huu na uhamasishaji huu, I am sure kura za kiba zitakuwa nyingi.
I think kama mdau alivyosema inabidi aache sana post kwenye social media aweke mtu awe ndiye anadeal na kupost na awe anapost kazi kazi tu mengine yanayoongelewa juu yake awe anapiga kimya kama zamani.
Yani alikuwaga anakaa kimya kiasi kwamba ikitokea ameongea watu watasema aisee kaongea kwakuwa yamemfika shingoni kasemwa sana ila siku hizi full kujibu tu.
 
Umejitahidi kuonyesha ujinga wako na pumba zako hongera hapo ndio uwezo wako unapofikia, mie napenda muziki mzuri napenda nyimbo nzuri alizoimba mond na alikiba. Lakin kwa alichokifanya mond ni cha kipumbavu kuanzisha bifu la kijinga ili alikiba akitoa nyimbo ibume. Kadhihirisha ana roho mbaya na Mungu huwapinga wenye kiburi na kujikweza kweli kaabika vibaya na wale mashabiki pumbavu ambayo yanashabikia hata ujinga sawa tu. Mziki wa kiba Ni level nyingine kabisa umchukie umkubali watanzania wamesema yes.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajiandae kustaafu hawatujui tukiamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fiesta inaanza lazma Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazma Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwann inapokalibia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..
Kiba katoa nyimbo, kuna mdau 1 clouds akaniambia usiku na ww utatoa nyimbo..ukatoa..ikakucost tena.

Nasibu Abdul hajawahi kuwa adui na Clouds Media. Tatzo ni Udiamond wako. Tatzo ni kuwa maarufu zaidi yao nje na ndani ya Nchi. Tatzo bei yako ya show..napenda spirit yako..unajua hata shigongo anakuchukia sana..kisa tu ulikataa kupiga show kwa 10 mil mbagala. Eti unalinga..diamond we hulingi..but unajua thamani yako.

Sisi wadanganyika tunaaminishwa eti Kiba mkali..seriously..?? Shilawadu wadau wako walikuponda sana kwenye kipind chao juzi..eti hata kutukanwa ulijitakia.., 360 Leo wamemaliza kabsa..eti kiba mkali sana. Haumuwezi.

Kiba anapandishwa kwa sababu ya Fiesta. Hawa wakina dulla, kimambi mkumbo tu wanacheza ngoma wasiyoijua.

Hii yote ni fiesta tu..anatafutwa msanii aonekane anacaliba yako but bei yake ndogo. Kiba atazunguka Fiesta zote kwa malipo ya 3 milion kwa show ( kiba huwa anapiga show hata club hii pesa) wewe huwez kukubali hii. Fiesta watakayoweza kukulipa ni ya dar tu.

Diamond hauna dharau kabsa, upo humble, msela..mcheshi..!! Watu wanakushauri eti sallam hakufai..Sallam anakufaa sana, lazma uwe na meneja msela, mwana, muhuni,.msela sallam wa forest Moro kazi anaifanya vizuri sana.


Ushauri

1- Kuwa na wigo mkubwa wa Media ( unajua hata efm hawapigi ngoma zenu kivile( ongea na Mlezi wenu hili dogo kwake) wakina dulla wanasema unadharau sana. Eti ww kila kitu clouds yaani wao unawachukulia poa. Ongea nao yaishe..hakuna msanii alikua juu ya Media.

2- Imarisha brand & PR. Tafuta mtu wa kupost picha zako na kuandika kwenye account yako. Wewe ni mzuri kwenye kuimba tu..haya ya kupost mtafute mtu sahihi. Usiwape sababu..
Juzi umeandika bitch dying for fame..usinge andika bitch..ungecheka tu basi.

3- zikaushie siasa. Naishia hapo.


Last, kiba siyo size yako. Kuwa makini sana na Clouds unakunbuka fiesta ya mwaka juzi walivyoinjinia mpaka ukazomewa..mwaka Jana hukushiriki na mwaka huu usishiriki. Andaa show zenu wenyewe na wapambe wenu km wakina shish baby, killer, stamina..n.k


Clouds wamedhamiria kukushusha kabsa. Hawakuchukii tatzo bei yako. Clouds wanaamini wao ni wakubwa sana kwahyo hutakiwi ku bagairn. Wasanii bila kuwa kitu kimoja mtakawanywa sana.

Kwepa kumzungumzia kibakuli au yule sijui mange Kimavi asiye jua hata mipaka yake.


Sangoro sangoro sangoro...X 3
Ooohh ooooh ohhhho

Kibakuli ni anabebwa sana..but laiti angekuwa na kipaji hata robo yako tungeongea mengine..tatzo kiba uwezo mdogo.

Kwani kale ka mange kimavi kanakupa homa kale..!!

Kuchukiwa na Wema, Jokate, Penny, Wolper hiyo kawaida sana..pay the price brother. Ulikula wote hawa. Ulifaidi japo. Kwahyo vitimu vyao visivyo hata na usajili tegemea tu matusi yao.
Mtu kama wewe unastahili kutukanwa yaani Alikiba kafanya vizuri unaanza kulalamika akifanya diamond hakuna anayelalamika mara ngapi diamond kasifiwa kwa kufanya vizuri hakuna aliyepinga iweje kwa kiba?Ina maana wewe unaona hastahili?huu ni UKUKU
 
Unalala na mwanamke unamtia mimba alafu badae unakuja kumuita Bitch?Diaomond hiyo umekwaaza wanawake karibia wotee sio hamisa tu.Binafsi nilikua fan wako mkubwa tu.Sifa zimekuzidi sana kijana unaanza kua mpuuz flan.
 
Naona umeandika gazeti

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom