Kipindi anampa mimba ulikuwepo? Au magazeti yameandika. Unajua uchafu wa Hamisa.Unalala na mwanamke unamtia mimba alafu badae unakuja kumuita Bitch?pumbf kabisa wewe Diaomond hiyo umekwaaza wanawake karibia wotee sio hamisa tu.Binafsi nilikua fan wako mkubwa tu.Sifa zimekuzidi sana kijana unaanza kua mpuuz flan.
Havihusiani.Mi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Tangazo ametoa pesa mzee. Hawapo poa kiivyombona clouds wapo poa na Diamond hata nymbo zake na matangazo yake ya karanga wanapiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu labda wa kwanza kwako na mkeo tu sio sisiWote ni wasanii wazuri sanaaa...ila kiuhalisia diamond ni mkubwa sana kwa alikiba kwa maan diamond kavuk mipaka nje ya Tanzania zaidi ya kiba, anafahamika zaidi ya kiba, anamashabiki wengi nje ya Tz zaidi ya alikiba......ila anaivunja status yake taratibu angekua anakausha tu japo hili week kafanya mziki urudi midomoni mwa watu maaana siasa kwakweli awamu hii imefunika muziki, atrist alivoanzisha hizi chokochoko wadau wamerudi kuukumbuka muziki ,kiuhalisia dai ndie anae uroll mziki wa bongo ukitegemea na maadui wengi aliokua nao,........wote ni wasanii wazuri sanaa ila ukweli no moja kwa sasa ni diamond na wapili ni kiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ulitaka matangazo yake wasimtose hela??? Kisa ni diamond???Tangazo ametoa pesa mzee. Hawapo poa kiivyo
yani hili ata kama sio shabiki wake au hupendi mziki wake uo ndo ukweli,...mm binafsi napenda nyimbo za kiba ila siwez jidanganya kusema kiba ni mkubwa zaidi ya diamond ntakua mnafki na ushabiki utumbo... Ukienda nchi mbalimbali za Africa msanii anaejulikana zaidi ni Diamond na ndio nembo ya mziki wa Tz kwa nje,..hio yote kwasabab domo kajitangaza sana hasa swala la kufanya collaboration na wasanii mbalimbali,..lets be realistic bhna na domo ndie anae onekana zaidi kuiwakilisha na kuifikisha bongo fleva nje kiasi chakeHamna kitu labda wa kwanza kwako na mkeo tu sio sisi
Niambie kati ya Diamond na Alikiba nani aliyemuamsha mwenzake safari hii? Unajua usiwe mjinga kuandika ili mrad umeandikaDiamond ajawai kuniangusha kapigana vita vingi sana kashinda waliona kiba kalala wakaamua kumpandisha darasa ikawa hola aya ni upepo tu utapita wakali tutaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili hizi naona Tz bado sana,so diamond ni mfanyakazi wa Voda? Mwambie huyo rafiki yako mfanyakazi wa Voda aende ofisini akiwa amevaa tshirt ya tigo.Havihusiani.
Unataka kusema wafanya kazi voda hawana laini za tigo?
Mleta mada nimemuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mie nimeshangaa Mond hakuwa mtu wa kufanya vitu anavyofanya sasa,ila mie binafsi nichogundua ni kuwa hizi nyimbo nne za Mond alizotoa mwanzo hazijafanya vizuri kwa kukosa muamko uliyozoeleka.Sure mkuu siku hizi amekuwa mtu wa kujibu kila kitu sijui nini kimempata.
Mara ya kwanza ilikuwa kuwa kiba ndiye anamtafuta diamond na diamond hamsemi kiba lakini juzi game limechange.
Siku hizi diamond anapost ujinga ujinga hilo linampotezea sifa. Yani angekuwa kama zamani asingepata kipigo alichopata hii week yani kajichanganya na bado atazidi umia.
Kuna tuzo wanashindania nje yeye na alikiba kwa mwendo huu na uhamasishaji huu, I am sure kura za kiba zitakuwa nyingi.
I think kama mdau alivyosema inabidi aache sana post kwenye social media aweke mtu awe ndiye anadeal na kupost na awe anapost kazi kazi tu mengine yanayoongelewa juu yake awe anapiga kimya kama zamani.
Yani alikuwaga anakaa kimya kiasi kwamba ikitokea ameongea watu watasema aisee kaongea kwakuwa yamemfika shingoni kasemwa sana ila siku hizi full kujibu tu.
Waliompandisha ndo watakao mshusha
Siwez mfagilia huyo alotutukana wanawake Wa bongo kisa huyo bibi zari,
All in all mwalim ni mwalim tu hata ukimzid pesa
invest what you are willing to lose
UMEANDIKA KWA NIAMBA YANGU KAKA SAFI KABISA UKIWA JUU LAZIMA WATU WAKUCHUKIE NA SIO KWASABABU HAWAKUPENDI ILA NDIO NATURE YA BINADAMUFiesta inaanza lazima Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazima Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwanini inapokaribia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..
Kiba katoa nyimbo, kuna mdau 1 clouds akaniambia usiku na wewe utatoa nyimbo..ukatoa..ikakucost tena.
Nasibu Abdul hajawahi kuwa adui na Clouds Media. Tatizo ni Udiamond wako. Tatizo ni kuwa maarufu zaidi yao nje na ndani ya Nchi. Tatizo bei yako ya show..napenda spirit yako..unajua hata shigongo anakuchukia sana..kisa tu ulikataa kupiga show kwa 10 mil Mbagala. Eti unalinga..Diamond we huRingi..but unajua thamani yako.
Sisi wadanganyika tunaaminishwa eti Kiba mkali..seriously..?? Shilawadu wadau wako walikuponda sana kwenye kipindi chao juzi.. eti hata kutukanwa ulijitakia.., 360 Leo wamemaliza kabsa..eti Kiba mkali sana. Haumuwezi.
Kiba anapandishwa kwa sababu ya Fiesta. Hawa wakina Dulla, Kimambi mkumbo tu wanacheza ngoma wasiyoijua.
Hii yote ni fiesta tu.. anatafutwa msanii aonekane anacaliba yako but bei yake ndogo. Kiba atazunguka Fiesta zote kwa malipo ya 3 milion kwa show (kiba huwa anapiga show hata club hii pesa) wewe huwezi kukubali hii. Fiesta watakayoweza kukulipa ni ya Dar tu.
Diamond hauna dharau kabisa, upo humble, msela..mcheshi..!! Watu wanakushauri eti Sallam hakufai.. Sallam anakufaa sana, lazima uwe na meneja msela, mwana, muhuni,.msela sallam wa forest Moro kazi anaifanya vizuri sana.
Ushauri
1- Kuwa na wigo mkubwa wa Media (unajua hata efm hawapigi ngoma zenu kivile(ongea na Mlezi wenu, hili dogo kwake) wakina dulla wanasema unadharau sana. Eti wewe kila kitu clouds yaani wao unawachukulia poa. Ongea nao yaishe.. hakuna msanii alikua juu ya Media.
2- Imarisha brand & PR. Tafuta mtu wa kupost picha zako na kuandika kwenye account yako. Wewe ni mzuri kwenye kuimba tu.. haya ya kupost mtafute mtu sahihi. Usiwape sababu..
Juzi umeandika bitch dying for fame..usinge andika bitch..ungecheka tu basi.
3- Zikaushie siasa. Naishia hapo.
Last, kiba siyo size yako. Kuwa makini sana na Clouds unakumbuka fiesta ya mwaka juzi walivyoinjinia mpaka ukazomewa.. mwaka Jana hukushiriki na mwaka huu usishiriki. Andaa show zenu wenyewe na wapambe wenu kama wakina shish baby, killer, stamina..n.k
Clouds wamedhamiria kukushusha kabisa. Hawakuchukii tatizo bei yako. Clouds wanaamini wao ni wakubwa sana kwa hiyo hutakiwi ku bagairn. Wasanii bila kuwa kitu kimoja mtakawanywa sana.
Kwepa kumzungumzia kibakuli au yule sijui mange Kimavi asiye jua hata mipaka yake.
Sangoro sangoro sangoro...X 3
Ooohh ooooh ohhhho
Kibakuli ni anabebwa sana.. but laiti angekuwa na kipaji hata robo yako tungeongea mengine..tatizo Kiba uwezo mdogo.
Kwani kale ka mange kimavi kanakupa homa kale..!!
Kuchukiwa na Wema, Jokate, Penny, Wolper hiyo kawaida sana.. pay the price brother. Ulikula wote hawa. Ulifaidi japo. Kwa hiyo vitimu vyao visivyo hata na us a hook tegemea tu matusi yao.
Seduce kwa upande wao inaweza kuwa nzuri but haifanyi eti ndiyo Kibakuli ndiyo ameshakuwa juu ya Diamond, kwa kipi?
MTV wanasema Diamond anaipeleka Tanzania to World. Huyu msanii wenu anaitoa Tanzania to Mombasa.
HAKUNA MTU KAMPANDISHA DIAMOND DIAMOND ALIKUA MKALI NDIO WENGINE WAKAMFUATA KUJIFANYA ENTOURAGE YAKE STILL DIAMOND IS DIAMOND HAIWEZI KUA BATI