Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

dogo acha kupiga kelele unajua mahusiano ya DIAMOND na CLOUDSMEDIA GROUP AU KELELE TU....Ni hivi wasafi.com ni affiliated company under clouds media hilo liko wazi wala sihitaji tumia nguvu CHIBU PERFUME ni brand ya kusaga...sasa huoni clouds wana mengi ya kugain akiwa juu...ishu ya diamond kutoshiriki ni kwakua yeye anakua sponsored na voda thast all
 
Eti hawaoni haya yotee ,,aiseee
 
Wewe mtoa post Diamond ni Balozi wa Vodacom Wakati Fiesta indhaminiwa na Tigo (Tigo Fiesta) hiyo ni sababu tosha ya Diamond kutokua na sifa za kushiriki Fiesta iliyopita na hata Fiesta hii pia! Hivi watanzania mkoje? Mmekaa kushupaa kulaumu vitu vya kipuuzi sana huku ukijitia unajua kuchambua upupu wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point tupu...ni wazi kabisa kuna nguvu kubwa inatumika kumshusha Dai na kumpandisha kibakuli. Naamini mziki mzuri utaishi milele na Juhudi huwa hazidanganyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dai ni balozi wa Vodacom anamkataba nao Fiesta inadhaminiwa na Tigo (Tigo Fiesta) nadhani kama una akili hapa umeelewa,acha fikra za kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

100% correct. Yaani ndio yalikuwa mawazo yangu kabisa. Diamond should focus. Zamani mpuuzi alikuwa anaonekana ni Kiba na wivu wake sasa juzi ile verse ime reverse kila kitu. Sasa Diamond ndio anaoneka tatizo. Awe makini na media
 
Mtoa mada acha fikiria kabla ya kupost uzi wako.Baada ya kusapoti mziki wetu ufike mbali wewe unaleta majungu. Diamond kautambulisha mziki wetu nje ya nchi ni hatua nzuri lakini peke yake haitoshi tunahitaji n wengine wausukume mziki wetu zaidi ya alipofika diamond hapo tutakuwa na nguvu kubwa angalia Nigeria wapo wengi wasanii ambao wameutambulisha vyema mziki wao duniani. Acha uduwanzi by the way bongo flava siyo ya Diamond na Alikiba peke yake wapo wasanii wengi na tunataka hao wengi autambulishe mziki wetu duniani. Diamond hata akiisha kimuziki leo bongo flava bado itaendelea kuwepo alikiba akaicha kuimba leo bado bongo flava itaendelea kuwepo na watakuja wengine ambao wataupeleka mbele mziki wetu na kuutambulisha duniani zaidi ya huyu kiba na mondi.



Sent from myself
 
Achana na kiba,diamond anayumba maneno yote hayo uliyoandika yangekuwa ya kumshauri cha kufanya ingekuwa big up sana

Acheni kuwatupia lawama clouds coz wafanyacho sio crime inawezekana diamond akatumia mwanya huo ku move further kama release ya ZILIPENDWA ilivyo promote SEDUCE ME(mange na nyimbo ya zilipendwa wameisukuma seduce me vya kutosha)

Hamtakiwi kulia lia dhidi ya mtu anayetoa nyimbo moja mwaka hadi mwaka wakati mondi na wasafi yake wana release mzigo wa nyimbo ndani ya mwaka sasa stress za mange na clouds inatokea wapi wazee
 
Point tupu...ni wazi kabisa kuna nguvu kubwa inatumika kumshusha Dai na kumpandisha kibakuli. Naamini mziki mzuri utaishi milele na Juhudi huwa hazidanganyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani timu domo mnatia huruma kila siku mnatafuta mchawi wa domo kumbe mchawi ni ye mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kuhusu ishu ya clouds ye mwenyewe alijitibulia kwenye ule wimbo wa acha nikae kimya alikuwa upande wa Bashite na kila mtu aliona Clouds ilivovamiwa halafu anakejeli kwenye wimbo "naskia kuna radio imevamiwa et" , bila kujua kuwa clouds ni kituo kikubwa cha burudani hasahsa bongofleva, tatizo hatumii akili anapotaka kufanya jambo na hii inamcost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo hawapendi ujinga kabisa aangalie kilichomtokea Mr nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila msanii anafit..... wigo ni mpana sana

Tatizo team mond mnatafuta justification....

Na mnataka kubishana na 2.2 viewers......


Kuna wapenzi wengi wa mziki wasio na team wanachojali ni mziki mzuri baaaaas

Na sio kila nyimbo Domo atakuwa wa kwanza.....kupitwa kutokana na wateja watakavyoupokea kupo pale pale

Bila kusahau Domo na hawara wake waache kutusi wateja...... haiwezekani ukaungwa mkono kila siku....mitandaoni haiwezekani ukasifiwa daily...kuita wateja wanuka chupi... au..pundaa wanapoteza wateja.... waache kutegemea kiki za kipuuzi....mwisho wa siku watu wanakuwa interested na kiki kuliko mziki

Mameneja wa Domo wazingatie professionalism. ...mameneja kutwa vijembe....wanampoteza


Domo aache kuimba watu.....yaani nyimbo mtu unazipredict kabisa....asipoimbwa wema ataimbwa zari...jokate.... mobeto...

Timing ya kutoa nyimbo


Kudiss wenzake aache

Kudhani kuwa yeyey ni bora kuliko wengine aache....kuna kina aslay wanaimba vizuri kuliko yeye ni wakati tu

Pia kila kitabu na zama zake na watz wakiamua wanakunyoosha tu

Kwa hiyo badala ya mumfariji na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa meambieni ukweli


Mwisho fiesta haikuundwa kwa ajili ya Domo pekee... kila msanii ana nafasi sawa kutegemea na hadhira.....


 


Shigongo hamchukii Diamond ila alimpa ushauri, Diamond anamashabiki zake huko uswahili Mbagala ,mikoani n.k sasa kama hataki hata kujitolea shows za bei rahisi ambazo hapati hasara ili kujiweka tu karibu na mashabiki zake mara moja moja kuna ubaya gani? Na hao watu mnaowaona wa hali za chini hawawezi kuingia show zake za 50,000 ndo wanaompigia kura kwa kiasi kikubwa kuliko hao wa Masaki ambao wanaona ni ujinga kufanya hivyo...

Jambo lingine huwa naona mashabiki wake wanawalaumu channel 5 au eastafrica Radio kwamba hawapigi nyimbo za Diamond. Kiukweli ni kwamba Diamond hatoi ushirikiano kabisa na vyombo vingine vya habari zaidi ya kujiona clouds tu ndo hadhi yake,kila kitu anazindulia clouds hawa radio zingine watajisikiaje? Diamond apunguze dharau hizo kwa other medias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…