Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Dah ! Kuna watu Mko Deep aisee.....Anyway ..U nailed it Mkuu ....Mwenye masikio asikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliokuwa wanakesha mtandaoni kusema Kibakuli ana dharau leo wanajiramba..... wabongo nawaelewa
 
Domo alikosea sana kumaliza tofauti zake na davido mana kipindi hicho alikuwa domo vs davido nani mkali na ilimkuza sanaa kimataifa nasikitika sanaa yukwapi yule mondi wakufanananishwa na davido na kina wizkid
 
Mtu kama wewe unastahili kutukanwa yaani Alikiba kafanya vizuri unaanza kulalamika akifanya diamond hakuna anayelalamika mara ngapi diamond kasifiwa kwa kufanya vizuri hakuna aliyepinga iweje kwa kiba?Ina maana wewe unaona hastahili?huu ni UKUKU
Tena ubata na uharo.mtupuuuu
 
Maswali mazuri mnoooo yani mnooo
 
Duuu kweli ww ni badili tabia wasipokuelewaa hapa basi tena
 
kama ni kwely usemayo, bac clouds wametumia akili sana kukuza business yao. Dai pia kupenda kwake taarab kumemponza, haikua na haja yaku release zilipendwa, kisa Ally katoa seduce me, wagogo husema, silence is the best ship home. Kwa hapa ilibidi anyamaze atoe song bdae. Ila kwa ujumla Dai ni mkubwa sana Ally, sema still kama binadam ana weakness yakuimba imba wengine kitu kilichom cost kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei cheee wewe hata buku kumi ya kuhonga huna msyuuuuuu
 
Wataalamu wa saikolojia tunahisi kuna kitu kinaendelea kwenye ndoa yake na zari...

pia issue ya mobeto itakuwa imekinukisha kwenye ndoa ya mchizi so kavurugwa na frastration za mkewe...

anaongea na kuropoka kwenye mitandao hovyohovyo kumbe siteresi za zari na mobeto na huku kiba anawapeleka puta basi balaa tupu.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
kifupi umeandika pumba, unajaribu tuu kujipooza na homa ya seduce me. kifupi biashara zote za diamond zina partnership kubwa na Clouds media kama ulikua hujui.
 
Mwambie huyo msanii wenu aache ukuda maana hataki kuona wenzio wanatoboa yeye na akina salam babu tale sio wagawa riziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kifupi umeandika pumba, unajaribu tuu kujipooza na homa ya seduce me. kifupi biashara zote za diamond zina partnership kubwa na Clouds media kama ulikua hujui.
We kweli bwege mtozeni! Hilo bakuli lenu lina ngoma gani kali kumshinda mod? Kwenye matuzo hilo bakuli likae mbali kabisa na kwenye success hapo ndio kabisaaa hilo bushman likacheze na matembo yake tu!
 
Sawa .Kuna ukweli katika hili. Wale jamaa ni mabeberu sana. Pia la kumaliza tofauti zake na media kama EATv na zingine hilo ni la kulifanya hata sasa. Bigup mkuu ushauri nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…