Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtoa post Huna akili Diamond ni Balozi wa Vodacom Wakati Fiesta indhaminiwa na Tigo (Tigo Fiesta) hiyo ni sababu tosha ya Diamond kuto kua na sifa za kushiriki Fiesta iliyopita na hata Fiesta hii pia! Hivi watanzania mkoje? Mmekaa kushupaa kulaumu vitu vya kipuuzi sana huku ukijitia unajua kuchambua upupu wako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond ni msanii mzuri sana wapendwa lakini kuna kitu hivi karibuni kimezidi kumfanya apoteze mashabiki wake na kuongeza maadui yeye mwenyewe bila kujua
Kipindi cha hivi karibuni jamaa amekuwa ni mtu wa matusi ,majivuno ,vijembe kwa wasaniI wenzake na mashabiki zake
~kumwita hamisa bitch
~kuwaita mashabiki vichupi kunuka
~kumwambia dimpoz anapumuliwa
~kutoa remex kuwa hali vipusa
~kumchana kiba kwenye fresh remex
~kutoa nyimbo wakati mwenzake kashatoa ngoma
Yote hayo yamempotezea mashabiki wengi na kumuongezea maadui wengi tu bila yeye kujua
Kingine kinachomsababisha huyu kaka kupotea nI mahusiano yake na bibi zari tokea yaanze ndio yamezidi kumpotezea mashabiki kwani yamemfanya D kuwa mtu wa majivuno kisa zari, kashawatukana sana akina wema na hamissa,penny kisa zari so amuangalie vizuri huyu bibi ata?potezea fanz
Sent using Jamii Forums mobile app
Na dharau ndizo zinazoponzaalikuwa busy kuturingishia zari.aendelee na zari wake sisi tupo busy na music na kiba. mond na sallam wana madharau jamani .huwezi amini wanategemea watu kwenye kazi zao
Hajui msamehe bureMi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Diamond ni msanii mzuri sana wapendwa lakini kuna kitu hivi karibuni kimezidi kumfanya apoteze mashabiki wake na kuongeza maadui yeye mwenyewe bila kujua
Kipindi cha hivi karibuni jamaa amekuwa ni mtu wa matusi ,majivuno ,vijembe kwa wasaniI wenzake na mashabiki zake
~kumwita hamisa bitch
~kuwaita mashabiki vichupi kunuka
~kumwambia dimpoz anapumuliwa
~kutoa remex kuwa hali vipusa
~kumchana kiba kwenye fresh remex
~kutoa nyimbo wakati mwenzake kashatoa ngoma
Yote hayo yamempotezea mashabiki wengi na kumuongezea maadui wengi tu bila yeye kujua
Kingine kinachomsababisha huyu kaka kupotea nI mahusiano yake na bibi zari tokea yaanze ndio yamezidi kumpotezea mashabiki kwani yamemfanya D kuwa mtu wa majivuno kisa zari, kashawatukana sana akina wema na hamissa,penny kisa zari so amuangalie vizuri huyu bibi ata?potezea fanz
Sent using Jamii Forums mobile app
Point tupu...ni wazi kabisa kuna nguvu kubwa inatumika kumshusha Dai na kumpandisha kibakuli. Naamini mziki mzuri utaishi milele na Juhudi huwa hazidanganyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha nyimbo ya Gigi na vitu vya kijinga
Wewe kubali Alikiba amefanya vizuri achana na kuandika pumba kwani ukikataa diamond atakufanya nini?Kwa mujibu wa maneno ya diamond mwenyewe alisema nyimbo hiyo siyo ya kimataifa siku iliyotoka kama anaunganisha vipande wewe si unatv jumapili angalia ijumaa angalia mwenyewe au ingia kwenye page zao kwenye mitandao ya kijamii kama ni uongo utajua tu mashabiki wa alikiba wanatabia ya kuunganisha paka cover vp nyimbo na justin bieber lini
Sasa kuna kosa clouds kumtumia mtu mwingine tofauti na unayemtaka wewe ambae mikataba yake aliyoingia na makumpuni mengine inamfunga kushiriki ? Muda mwingine muwe na akili ya kujiongeza Diamond hata yeye anajua kua hawezi shiriki Fiesta kutokana na mkataba wake na Vodacom sasa nyie mnayoyatengeneza na kuyakuza ili kuichafua Clouds sijui mnatoka wapi kwa kweliHujamuelewa mtoa madaa,hata kama kweli dai hawez kushiriki kwa sababu ya sponsor.bado clouds wanaweza kutumia sababu hiyo ili ali kiba hawe juu waweze kufanya fiesta yao iwe na nguvu
we pekee yako umeongea UKWELI,yaliyobaki ni story za vijiweniMi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Unamawazo kama yangu Mondi angestaafu mziki af tuone sasaMkuu umeongea point sana kiba hajaleta jipya lolote ktk bongo fleva bt anavyopaishwa mi nadhani mond astaafu mziki halafu tuone watampeleka wapi kiba wao
Sent from my Phillips Savy
KAKA NAOMBA NIKUNUNULIE LUNCH!
kiroho safeeey!
Moderator naomba andiko hili limeende juu kukazia nilichoandika. Pamoja na attachments zakeCONNECT THE DOTS .........
Ilianza hivi: 5th July 2017
Ali Kiba has been named partner and shareholder to both the Record Label and Management Company Rockstar4000 in addition to the audio and audio-visual content company Rockstar Television. In his capacity as Director of Music Development, Alikiba will work closely with the groups Managing Partner, Seven Mosha and the Group Founder and CEO Jandre Louw.
View attachment 577298
Then ikawa hivi: 22nd July, 2017
Seven Mosha (Meneja wa Ali Kiba) anatangaza tangaza partnership between Rockstar na Clouds Media Group. The partnership, among other things, will revolve around Fiesta and other events beyond FIESTA2017. So, KIBA ni partner wa Clouds Media Group. Je, hakuna motive behind ya kumbeba Ali Kiba? Vipi kuhusu wasanii wasiokuwa na partnership na CMG? Is it fair play for them? Je, sheria za media ownership zinasemaje kuhusu impartiality?
Ikumbukwe pia Ruge alishasema kwenye Clouds 360 kuwa mwaka huu Fiesta hakuna msanii kutoka nje lengo likiwa ni kuwakuza wasanii wa ndani na kuwapa platform. Unganisha ya hashtag ya Seven Mosha [HASHTAG]#SupportingLocalTalents[/HASHTAG] then unapata maana. A DECISION HAS ALREADY BEEN MADE TO GO WITH KIBA AS THE HEADLINER FOR FIESTA 2017 and support him beyond Fiesta2017.
Wakubwa wameamua domination ya Diamond imetosha. Ni zamu ya Kiba now. Time to buildup Kiba and take him to the international stage by giving him the platform he didnt have in the past. Hii ni partnership yenye nguvu sana haijapata kutokea na Diamond hataweza kushindana nayo (CLOUDS MEDIA GROUP + ROCKSTAR TV). Option pekee aliyonayo Diamond na WCB yake ni kujoin them (If you cant neat them, join them).
View attachment 577231
Hayo yako,Kama mwanamke ananuka kweli ndio itamgusa na kukasirika.. na aliowapitia.. umejaa wivu juu ya Zari.