Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
πππ Poa mkuuTafuta nyundo uliponde ponde, kama halitovunjika au kusambaa vipande vipande tuwasiliane
Jiwe gani hili?kaka mali hiyo [emoji51][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Dhahabu?La Chatto ...
Kama litavunjika Je?Tafuta nyundo uliponde ponde, kama halitovunjika au kusambaa vipande vipande tuwasiliane
πππUna utajiri mkubwa sana dhahabu hiyo kuwa muangalifu
Ok, sawa mkuu.Inaelekea kama yellow scoplite au citrine
Sema usiumize kichwa sana mawe aina
Hiyo hayana thamani sanaaaa
Usije ukahisi ni ya mamilion
Ova
Niko tayari kulinunua kwa mil.15 na nyumba ya mil. 35 nitakujengea na gari nitakupa, hiyo ndiyo ofa yangu japo naweza kukuongezea.Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
View attachment 2112522
View attachment 2112536
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Niko tayari kulinunua kwa mil.15 na nyumba ya mil. 35 nitakujengea na gari nitakupa, hiyo ndiyo ofa yangu japo naweza kukuongezea.
Ukikataa nitawaambia mabeberu wa SGR wakunyang'anye.