I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
$70 yellow quartz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo sio dhahabu hiyiigymtamu acha kuropokwa,dhahabu ndo kazi yetu.unavifahamu vikole?
Hiyo ni Quartz.. atulie tu.Hilo jiwe linawezakua ni Quartz ( Smocky quartz).
Hahaha! Au kama anayo kuanzia tani moja anaweza piga pesa.Hiyo ni Quartz.. atulie tu.
ila mbona jiwe hilo linafanana na utomvu wa miti unaotengezeaga gundi
🤣🤣🤣fanyia kazi ushauri wa wadau hasa wa kujaribu kuliponda ponda kisha tuletee mrejesho
Nani kasema ni metali?Almasi ni kito sio metal
Labda dhahabu ya indiaKwa 90% hiyo ni dhahabu labda camera yako iwe mbovu.
Hayo maarifa ya kupondaponda gemstones ili kuyatambua umeyatoa wapi? Unajua thamani ya gemstone ni kubwa zaidi pale linapokua halina mipasuko?Nani kasema ni metali?
Nia ya kuliponda ni kujua hardness yake.. amlasi haipondeki kirahisi.. pata maarifa ndugu
Kwa muonekano wa haraka iyo ni jamii ya Agate stones. Unayo mengine?Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
View attachment 2112522
View attachment 2112536