Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
- Thread starter
- #21
Nimeliokota mkuu, kuna sehemu wanachimba kifusi pembezoni mwa mlima kwenye ujenzi wa reli ya SGRUmelipata wapi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeliokota mkuu, kuna sehemu wanachimba kifusi pembezoni mwa mlima kwenye ujenzi wa reli ya SGRUmelipata wapi
Ova
Asante Sana Kwa ushauri mkuu 🙏🙏Nenda sehemu wanayohusika na madini iliyosalama wakalitizame usiende kwa mtu tu kataa hata makutano mpk uhakiki.
Hilo ni lile walilokataa waashiHabari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
View attachment 2112522
View attachment 2112536
Si ameshasema huko juu?Umelipata wapi
Ova
Mega kipande kidogo uende kwa jamaa wanaohusika na madini. Usiwaambie kwamba unalo bonge nyumbani umeliacha utanyang'anywa pumbavu wewe! Sasa hivi kuchinjana imekuwa rahisi sana hivyo jamaa wanaweza kukuchoma sindano ya sumu. Si umesikia kule Mtwara polisi walichukua madini ya dogo? Hiyo mwanawane inaweza kuwa dhahabu. Hivyo ukimega kipande kidogo unaenda kusikilizia.Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
View attachment 2112522
View attachment 2112536
Lisipovunjika hiyo ni almasi.. likivunjika ni mabo tu achana naloKama litavunjika Je?
Almasi ni kito sio metalLisipovunjika hiyo ni almasi.. likivunjika ni mabo tu achana nalo
Lina ukubwa gani ?Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
View attachment 2112522
View attachment 2112536
Hv unafaham dhahabu au unaropokwa?Kwa 90% hiyo ni dhahabu labda camera yako iwe mbovu.
ndiyo yenyewe ila ikiwa haijafanyiwa cutting(rough) haiuzwi kwa carat inauzwa kwa gramsHuwa yanaitwa 'yellow quartz citrine', unaweza ku google ujue thamani yake per carat
ndiyo yenyewe ila ikiwa haijafanyiwa cutting(rough) haiuzwi kwa carat inauzwa kwa grams