Hili ni kweli kumhusu Doctor Leakey?

Hili ni kweli kumhusu Doctor Leakey?

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Nilishawahi kusikia story kumuhusu mdau wa soka Dk Leaky kua alishawahi kubeti akawa anashinda pesa ndefu mpaka hayo makampuni ya kubeti yakamwajiri na kumzuia asibeti tena

Hivi ni kweli au ni story za kwenye dala dala?

Uzi tayari

images%20(12).jpg
images%20(13).jpg
 
Sio kweli ni story za vijiweni tu.

Why azuiwe kubet wakati odds hatengenezi yeye na wala huo mpira achezi yeye na wala refarii sio yeye?

Huyo ni influencer tu wa hayo makampuni ya kubet sababu ana fans wengi . Mfano hiyo picha kashika mfano wa hundi. Ni kwa ajili ya kuitangaza kampuni hiyo ya kubet
 
Mimi binafsi nimesikia hizo story mi naamini 50/50 hizo story,kwasababu jamaa kwenye uchambuzi wake siku za nyuma alikua akibashiri timu flani watapata goli mbili au zaidi,au timu flani watapata penati au flani atatoka na ataingia flani na atafunga,maranyingi ilikua ikitokea hivyo anavyotabiri.

Kipindi icho alikua akichambua soka vituo vya habari kama TVT(TBC),Chanel ten n,k.
 
Kipindi hicho watu walikuwa ni mbumbu wa soka, achambue basi na sasa tuone Ashinde hizo hela.

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Labda ulikua hujazaliwa! Alichambua mechi ya Ac Milan vs Liverpool ya kina Crouch. Jamaa aliichambua vyema mechi pamoja na kutabiri Ac Milan itashinda na ikashinda kweli (2006/2007 kama sijasahau sana)
 
Hata wewe unaweza kutabiri mechi kadhaa na kupatia lakini hoja hapa ni kwamba eti kila akitabiri anapatia hapo ndio umbumbumbu unaotajwa kwa wanaoamini hivyo. Mbali na viwango vya timu matokeo ya mechi yanaweza kuathiriwa na waamuzi au Makosa ambayo hayakutegemewa kama kujifunga au Makosa kama ya kina Karius dhidi ya Real Madrid.
 
Hata wewe unaweza kutabiri mechi kadhaa na kupatia lakini hoja hapa ni kwamba eti kila akitabiri anapatia hapo ndio umbumbumbu unaotajwa kwa wanaoamini hivyo. Mbali na viwango vya timu matokeo ya mechi yanaweza kuathiriwa na waamuzicau Makosa ambayo hayakutegemewa kama kujifunga au Makosa kama ya kina Karius dhidi ya Real Madrid.
Subiri kwanza mkuu, uliwahi kumuona/kumsikiliza anavyochambua mechi au unaleta ubishi wa kiha?
 
Nimemsikiliza sana na alikuwa anachambua vizuri, lakini kuamini kuwa anaweza kutabiri na kwa 100% itatokea ni umbumbumbu.
 
hizo ni hadithi za kusadikika tu, hayo mambo yanatokea tanzania tu, bahati mbaya hp kwetu anaweza akatokea mtu akasema yy ndo mungu amekuja kuna watu wataamini tu
 
Subiri kwanza mkuu, uliwahi kumuona/kumsikiliza anavyochambua mechi au unaleta ubishi wa kiha?
mi nlishamuona sana tu, nakumbuka mechi ya man u vs milan 2007 san sirro alituchambulia wee mwsho akampa ushindi utd ila wakaenda pasuka 3-0, ht ujue mpira vipi huwez patia matokeo km vile bayern juzi alivyokufa 5-0 kwa wanaobeti sn wanayajua haya mambo, km walimzuia za hapa ndani si angeenda tumia zile za nje ambazo zina viwango vya juu zaidi ambavyo mtu unaweza kula au kina bet365 na wao walimshindwa? angalia mkuu inaonekana unaweza kuwa mteja mzuri kwa wale wauza odds
 
Nadhani utakua umechanganya madesa
 
Nadhani utakua umechanganya madesa
nimechanganya wapi sasa? sema wapi ambapo nmechanganya, sema kipi si chakweli hapo, km kweli ye mwamba acheze kwe sites za nje huko kuna jackpots hadi za biliion 100 kwa pesa za kibongo au yeye hapendi pesa au amelipwa zaidi ya hizo?
 
Labda ulikua hujazaliwa! Alichambua mechi ya Ac Milan vs Liverpool ya kina Crouch. Jamaa aliichambua vyema mechi pamoja na kutabiri Ac Milan itashinda na ikashinda kweli (2006/2007 kama sijasahau sana)
Ukishasema utabiri ujue ni imagination, siyo kuwa MTU unakuwa na uhakika asilimia Mia moja.

Back
Top Bottom