Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh tehNasikia hayati wa Chato aliwahi kutabiri kuwa ccm itashinda uchaguzi wa 2020 hata kama yeye atapata dharura ya kuondoka duniani march 17,2021
Uwenda keshajaribu akapigwa,muhindi sio mtu kabisa kaa mbali na kanji bhai.Siyo ugomvi mkuu, kubet siyo mchezo, ajaribu saa hizi aone.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Dah!,Man U kona tatu zimemshinda!. huu mwaka ni mgumu mno kwa Mashetani.Huu nao ni upuuzi mwingine. Betting ni ngumu kuliko kubeba zege. Wale jamaa zangu wa mizigo na mikeka wanalijua hili.
Hakuna kampuni hata moja itakayomzuia mtu kufanya betting, labda kama utaomba wewe wakuzuie baada ya vipigo kuwa vikali.
Kwenye game 1 unaweza kuta machaguo 180, lakini ukiangalia huoni hata moja. Kwa hiyo kupatia betting yako ni bahati zaidi kuliko kujua.
Juzi Manchester united dhidi ya City kapewa dk 90 apate kona 3 na ilikuwa na odds 1.87, baada ya dk 90 United kapiga kona 1 tena dk ya 90+
Kwa hali ya kawaida unaweAza kuamini kuwa united unayoijua wewe wanashindwa kupata kona 3 ndani ya dk 90?
Upepo tu. Hamna ujanja.