Hili ni kweli kumhusu Doctor Leakey?

Hili ni kweli kumhusu Doctor Leakey?

Tukiweka utani pembeni Dr Leakey ni mtabiri imagine Kabla ya mechi hata moja kuanza alitabiri nani ataingia final ya kombe la dunia na bingwa na alipatia Mara mbili mfululizo na shahid ni Mimi mwenyewe hio ilikua mwaka 2010 na 2014
 
Nasikia hayati wa Chato aliwahi kutabiri kuwa ccm itashinda uchaguzi wa 2020 hata kama yeye atapata dharura ya kuondoka duniani march 17,2021
 
Huu nao ni upuuzi mwingine. Betting ni ngumu kuliko kubeba zege. Wale jamaa zangu wa mizigo na mikeka wanalijua hili.

Hakuna kampuni hata moja itakayomzuia mtu kufanya betting, labda kama utaomba wewe wakuzuie baada ya vipigo kuwa vikali.
Kwenye game 1 unaweza kuta machaguo 180, lakini ukiangalia huoni hata moja. Kwa hiyo kupatia betting yako ni bahati zaidi kuliko kujua.
Juzi Manchester united dhidi ya City kapewa dk 90 apate kona 3 na ilikuwa na odds 1.87, baada ya dk 90 United kapiga kona 1 tena dk ya 90+
Kwa hali ya kawaida unaweAza kuamini kuwa united unayoijua wewe wanashindwa kupata kona 3 ndani ya dk 90?
Upepo tu. Hamna ujanja.
 
Kuzuiwa kubet sidhani ila ninachofahamu jamaa ni mcheza kamari sana, enzi hizo nilikuwa namkuta sea cliff casino akicheza makamari yake akamla mwenzie gari sijui walikuwa wanashindana kitu gani huko
 
Huu nao ni upuuzi mwingine. Betting ni ngumu kuliko kubeba zege. Wale jamaa zangu wa mizigo na mikeka wanalijua hili.

Hakuna kampuni hata moja itakayomzuia mtu kufanya betting, labda kama utaomba wewe wakuzuie baada ya vipigo kuwa vikali.
Kwenye game 1 unaweza kuta machaguo 180, lakini ukiangalia huoni hata moja. Kwa hiyo kupatia betting yako ni bahati zaidi kuliko kujua.
Juzi Manchester united dhidi ya City kapewa dk 90 apate kona 3 na ilikuwa na odds 1.87, baada ya dk 90 United kapiga kona 1 tena dk ya 90+
Kwa hali ya kawaida unaweAza kuamini kuwa united unayoijua wewe wanashindwa kupata kona 3 ndani ya dk 90?
Upepo tu. Hamna ujanja.
Dah!,Man U kona tatu zimemshinda!. huu mwaka ni mgumu mno kwa Mashetani.
 
Back
Top Bottom