Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi hicho watu walikuwa ni mbumbu wa soka, achambue basi na sasa tuone Ashinde hizo hela.Mimi binafsi nimesikia hizo story mi naamini 50/50 hizo story,kwasababu jamaa kwenye uchambuzi wake siku za nyuma alikua akibashiri timu flani watapata goli mbili au zaidi,au timu flani watapata penati au flani atatoka na ataingia flani na atafunga,maranyingi ilikua ikitokea hivyo anavyotabiri.
Kipindi icho alikua akichambua soka vituo vya habari kama TVT(TBC),Chanel ten n,k.
Labda ulikua hujazaliwa! Alichambua mechi ya Ac Milan vs Liverpool ya kina Crouch. Jamaa aliichambua vyema mechi pamoja na kutabiri Ac Milan itashinda na ikashinda kweli (2006/2007 kama sijasahau sana)Kipindi hicho watu walikuwa ni mbumbu wa soka, achambue basi na sasa tuone Ashinde hizo hela.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Hata wewe unaweza kutabiri mechi kadhaa na kupatia lakini hoja hapa ni kwamba eti kila akitabiri anapatia hapo ndio umbumbumbu unaotajwa kwa wanaoamini hivyo. Mbali na viwango vya timu matokeo ya mechi yanaweza kuathiriwa na waamuzi au Makosa ambayo hayakutegemewa kama kujifunga au Makosa kama ya kina Karius dhidi ya Real Madrid.Labda ulikua hujazaliwa! Alichambua mechi ya Ac Milan vs Liverpool ya kina Crouch. Jamaa aliichambua vyema mechi pamoja na kutabiri Ac Milan itashinda na ikashinda kweli (2006/2007 kama sijasahau sana)
Subiri kwanza mkuu, uliwahi kumuona/kumsikiliza anavyochambua mechi au unaleta ubishi wa kiha?Hata wewe unaweza kutabiri mechi kadhaa na kupatia lakini hoja hapa ni kwamba eti kila akitabiri anapatia hapo ndio umbumbumbu unaotajwa kwa wanaoamini hivyo. Mbali na viwango vya timu matokeo ya mechi yanaweza kuathiriwa na waamuzicau Makosa ambayo hayakutegemewa kama kujifunga au Makosa kama ya kina Karius dhidi ya Real Madrid.
Nimemsikiliza sana na alikuwa anachambua vizuri, lakini kuamini kuwa anaweza kutabiri na kwa 100% itatokea ni umbumbumbu.Subiri kwanza mkuu, uliwahi kumuona/kumsikiliza anavyochambua mechi au unaleta ubishi wa kiha?
Swali la msingi.. Inaelekea hamjui vizuri licky abdallahSubiri kwanza mkuu, uliwahi kumuona/kumsikiliza anavyochambua mechi au unaleta ubishi wa kiha?
mi nlishamuona sana tu, nakumbuka mechi ya man u vs milan 2007 san sirro alituchambulia wee mwsho akampa ushindi utd ila wakaenda pasuka 3-0, ht ujue mpira vipi huwez patia matokeo km vile bayern juzi alivyokufa 5-0 kwa wanaobeti sn wanayajua haya mambo, km walimzuia za hapa ndani si angeenda tumia zile za nje ambazo zina viwango vya juu zaidi ambavyo mtu unaweza kula au kina bet365 na wao walimshindwa? angalia mkuu inaonekana unaweza kuwa mteja mzuri kwa wale wauza oddsSubiri kwanza mkuu, uliwahi kumuona/kumsikiliza anavyochambua mechi au unaleta ubishi wa kiha?
Itakuwa hamuangalii mpira, kuna matokeo mengine ni zaidi ya bahati mbali na uwezo wa timu.Swali la msingi.. Inaelekea hamjui vizuri licky abdallah
Nadhani utakua umechanganya madesami nlishamuona sana tu, nakumbuka mechi ya man u vs milan 2007 san sirro alituchambulia wee mwsho akampa ushindi utd ila wakaenda pasuka 3-0, ht ujue mpira vipi huwez patia matokeo km vile bayern juzi alivyokufa 5-0 kwa wanaobeti sn wanayajua haya mambo, km walimzuia za hapa ndani si angeenda tumia zile za nje ambazo zina viwango vya juu zaidi ambavyo mtu unaweza kula au kina bet365 na wao walimshindwa? angalia mkuu inaonekana unaweza kuwa mteja mzuri kwa wale wauza odds
nimechanganya wapi sasa? sema wapi ambapo nmechanganya, sema kipi si chakweli hapo, km kweli ye mwamba acheze kwe sites za nje huko kuna jackpots hadi za biliion 100 kwa pesa za kibongo au yeye hapendi pesa au amelipwa zaidi ya hizo?Nadhani utakua umechanganya madesa
hee,,kwani ugomvi mkuu!!.Kipindi hicho watu walikuwa ni mbumbu wa soka, achambue basi na sasa tuone Ashinde hizo hela.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Siyo ugomvi mkuu, kubet siyo mchezo, ajaribu saa hizi aone.hee,,kwani ugomvi mkuu!!.
Ukishasema utabiri ujue ni imagination, siyo kuwa MTU unakuwa na uhakika asilimia Mia moja.Labda ulikua hujazaliwa! Alichambua mechi ya Ac Milan vs Liverpool ya kina Crouch. Jamaa aliichambua vyema mechi pamoja na kutabiri Ac Milan itashinda na ikashinda kweli (2006/2007 kama sijasahau sana)
HayaItakuwa hamuangalii mpira, kuna matokeo mengine ni zaidi ya bahati mbali na uwezo wa timu.