Huu nao ni upuuzi mwingine. Betting ni ngumu kuliko kubeba zege. Wale jamaa zangu wa mizigo na mikeka wanalijua hili.
Hakuna kampuni hata moja itakayomzuia mtu kufanya betting, labda kama utaomba wewe wakuzuie baada ya vipigo kuwa vikali.
Kwenye game 1 unaweza kuta machaguo 180, lakini ukiangalia huoni hata moja. Kwa hiyo kupatia betting yako ni bahati zaidi kuliko kujua.
Juzi Manchester united dhidi ya City kapewa dk 90 apate kona 3 na ilikuwa na odds 1.87, baada ya dk 90 United kapiga kona 1 tena dk ya 90+
Kwa hali ya kawaida unaweAza kuamini kuwa united unayoijua wewe wanashindwa kupata kona 3 ndani ya dk 90?
Upepo tu. Hamna ujanja.