G
Mtoto mzuri huyo yupo single katoe mahali tu. Mwanamke ukikuta ajua kupika anakuwa mtamu Kwa Kila kitu kuanzia tabia na mambo ya ziadaNikitaka kuonja huu msosi au kutoa order
Na vyenyewe sipendi maini naweza nikatapika hadi utumbo kwa huo mchanganyiko.Maini na bamia tena?
Ule utelezi wa bamia na hiyo minyanya chungu hapana kwakweli..!! 🤮
Ungepika maini peke yake na bamia na nyanya chungu peke yake..!!
Yaan nimekula ni taamu najikuta napenda bamia vibaya sana sijui kwannMaini na bamia tena?
Ule utelezi wa bamia na hiyo minyanya chungu hapana kwakweli..!! 🤮
Ungepika maini peke yake na bamia na nyanya chungu peke yake..!!
NdiyoMaini, bamia na nyanya chungu??!!
KaribuNikitaka kuonja huu msosi au kutoa order
Inakera hata kutazama kwenye pichaNa vyenyewe sipendi maini naweza nikatapika hadi utumbo kwa huo mchanganyiko.
Mapishi mbalimbaliNa vyenyewe sipendi maini naweza nikatapika hadi utumbo kwa huo mchanganyiko.