min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hakuna kitu humoMapishi mbalimbali
Hakuna kitu humoMapishi mbalimbali
Utakua unateleza tu!Yaan nimekula ni taamu najikuta napenda bamia vibaya sana sijui kwann
Gubu ilooo 😹😹😹Hakuna kitu humo
Hajui kupika chakula hakina mvuto , michanganyo mingi kama chakula Cha mifugo🚮Utakua unateleza tu!
Hongera zake shem anakufaudu mahi.. akichomeka imooo 😹😹😹
Utakua na mimba changa wewe 😹😹Hajui kupika chakula hakina mvuto , michanganyo mingi kama chakula Cha mifugo🚮
Basi ngoja na Mimi niwe mnafki , anajua kupika basi , hiki chakula kinaonekana kitamu na kinavutia😋Utakua na mimba changa wewe 😹😹
Ewaaaahh!! Na mpishi mtramu pia 😹Basi ngoja na Mimi niwe mnafki , anajua kupika basi , hiki chakula kinaonekana kitamu na kinavutia😋
Kiukweli nimerudia kuitazama picha , duh haya ni matumizi mabaya ya nyama na viungo vya mboga , pishi linatia kichefuchefu hatari.Ewaaaahh!! Na mpishi mtramu pia 😹
Nipo huku nalitafuta [JIKO] bado sijalipata..
Kumbe hizi bamia ndo zina sababishaUtakua unateleza tu!
Hongera zake shem anakufaudu mahi.. akichomeka imooo 😹😹😹
Gubu ilooo 😹😹😹
Kapika vizuri bana sema huo mchanganyiko kwa mimi ndo sijauelewa maybe ushamba wangu wa kikinga..!!
Kumbe...
Kwann jamanAma kweli sio kila mwanamke anafaa kua mke
Hakuna kitu hapoKwahyo hili pishi hamjakikubali ??
Daah nimeumiaHakuna kitu hapo
Kweli dunia uwanja wa fujo.Ndiyo
Mnamaanisha sana watanzania. Wengine sisi ni Food mongers tu, ulevi wetu ni vyakula.Mtoto mzuri huyo yupo single katoe mahali tu. Mwanamke ukikuta ajua kupika anakuwa mtamu Kwa Kila kitu kuanzia tabia na mambo ya ziada
AhsantiKaribu