Salaam, Shalom.
Mara zote maishani, matatizo hufuatana, na Huwa hayatoi taarifa Wala kubisha hodi,
Jana, wamepatikana mateka wanne waliotekwa miezi kadhaa iliyopita katika Shambulio na uvamizi wa ugaidi uliofanyika Israel October 2023. Binti mmoja aliyerekodiwa aliyekuwa kwenye tamasha Hilo, ni mmoja wa waliookolewa. Nguvu kubwa, pesa nyingi na MAISHA ya wengi yamepotea kuwaokoa mateka hao Kwa pande zote mbili, Gaza na Israel.
Ilikuwa siku ya SITA kuamkia siku ya Saba ( Sabato), wakati huo Wana wa Israel wakijiandaa Kwa ajili ya sabato, upande wa pili vijana wa kike Kwa wa kiume walikuwa wakihudhuria tamasha kubwa lililoandaliwa mpakani mwa Israel na mji wa Gaza, kwao sabato haikuwa na umuhimu wowote, pombe, UZINZI, sigara, muziki kwao ndio vilikuwa na umuhimu mkubwa,
Wakiwa katika wanayoiita furaha, ndipo walipoona angani parachute nyingi zilizokuwa zikija lilipokuwa likifanyika tamasha Hilo, wakati wakitafakari nini linaendelea, kumbe tayari adui alikuwa amekwisha vamia, wengi wakauwawa usiku Ule na mamia kuchukuliwa utumwani, wakiwa mateka.
Video Moja iliyorekodiwa na magaidi ilimrekodi Binti aliyekuwa kwenye tamasha akipakiwa kwenye bodaboda tayari Kwa safari ya kwenda Gaza mateka, utumwani Rasmi!!
Vijana wengi wamebakwa , wamelawitiwa, wameuwawa, kuingizwa kwenye drugs, kufundishwa uhalifu wakiwa katika night clubs, katika fukwe au katika kumbi za starehe ambako walienda wakiamini wanaenda kusherehekea na company ya marafiki. Kumbe starehe ni mtego uliotegewa Ili ushambuliwe na yule mwovu Kwa Shambulio la kishtukiza na kukuangamiza once and for all!!
(1 Wathesalonike 5:3)
Wakati wasemapo Kuna Amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo Kwa ghafula, kama vile umjiavyo mwenye mimba, Wala HAKIKA, hawataokolewa.
SOLUTION:
Wakati wa Amani ndio wakati unaotakiwa kuomba Kwa bidii sana, usisubiri wakati wa taabu ije ndipo uombe, utakuwa umechelewa. Omba maombi ya akiba wakati wa Amani, yakufae wakati wa taabu Yako, wakati Ule Shambulio la uharibifu likupatapo ghafula.
Ikiwa hujampa Yesu MAISHA YAko, fuatisha Sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN