Hili ni tone tu kati ya bahari ya msaada wa Tanzania kwa SADC, tujikumbushe ilivyokuwa.

We're not suckers ,Tz wacheni UONGO ati "bahari la misaada kwa sadc " hakuna chotechote mlichokifanya zaidi ya kuwapa ukimbizi wapiganiaji uhuru Sauzi na Namibia .
 
One mbumbumbu from kenya jikutaring anajuaring Africans historing [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani ata ka anajuaring historiaring ya nchi yakering.
We're not suckers ,Tz wacheni UONGO ati "bahari la misaada kwa sadc " hakuna chotechote mlichokifanya zaidi ya kuwapa ukimbizi wapiganiaji uhuru Sauzi na Namibia .
 
Hata South Sudan Garang got trained in Tanzania is only later on Kenya got involved after Tanzania n Uganda got involved!

Not just trained but also benefited from our free education program from Secondary to Dar University.
 
Sasa hyo ndio inaonyeshe wagonjwa wenu wanafuraha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda kwanza ukawatembelee wale waliokutwa na ule mkasa...wacha kutafuta kiki za kijinga hku kenyan news
Sana, that pic speaks volumes
 
Yani mpka sai unani quote...mbna umeumwa sana hvo mkuu...suluhisho uwache kwenda kw yale majukwaa yenu...manake wale ndo watanzania halisi wenye wanaonyesha vp akili zao zipo zipo tu...komaa hku hku afadhali
Uache uongo na umbumbumbu
 
Sasa hyo ndio inaonyeshe wagonjwa wenu wanafuraha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda kwanza ukawatembelee wale waliokutwa na ule mkasa...wacha kutafuta kiki za kijinga hku kenyan news
Hujaona video Magufuli akiwatembelea na kumwaga mihela mpaka wagonjwa wanacheka? Tanzania sio Kenya
 
Wakenya ni vichwa maji wapenda sifa sehemu ambayo haipo. Hata ungewaeleza vipi vichwa vyao vimejaa maji
 
Nilitegemea kuiona hii comment ndio maana mnaongoza kwa slum's duniani
 
Wewe si Ulisema nimeenda kwenye yale majukwaa, ili kudhibitisha kauli yako ya jana lete screenshot hapa tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mpka sai unani quote...mbna umeumwa sana hvo mkuu...suluhisho uwache kwenda kw yale majukwaa yenu...manake wale ndo watanzania halisi wenye wanaonyesha vp akili zao zipo zipo tu...komaa hku hku afadhali
 
Wagonjwa wanacheka na wakati wengine hali zao ni mbaya...wacha sifa za kijinga...

Hujaona video Magufuli akiwatembelea na kumwaga mihela mpaka wagonjwa wanacheka? Tanzania sio Kenya
 
Sileti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na utazidi kuumia na huu ukwel...yani hapo karoho kanakuuma mpka basi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Usijali...haina haja ukatukanwe bure kule...we tulia hku tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe si Ulisema nimeenda kwenye yale majukwaa, ili kudhibitisha kauli yako ya jana lete screenshot hapa tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niumie kisa mkumbafu kama ww mwenye anapenda kuropoka alafu akibanwa anatafuta visingizio [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ligi kati ya Tanzania na Kenya hazitakaa ziishe... kwa nini wa-Kenya wasiwe wapole kwa Tanzania kama wenzao wa-Ganda...

Cc: mahondaw
 
We're not suckers ,Tz wacheni UONGO ati "bahari la misaada kwa sadc " hakuna chotechote mlichokifanya zaidi ya kuwapa ukimbizi wapiganiaji uhuru Sauzi na Namibia .
Duh "chotechote" hii lugha ipi!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…