babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Uache uongo na umbumbumbu
Ugua pole pole ndugu...kwaheri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugua pole pole ndugu...kwaheri
We're not suckers ,Tz wacheni UONGO ati "bahari la misaada kwa sadc " hakuna chotechote mlichokifanya zaidi ya kuwapa ukimbizi wapiganiaji uhuru Sauzi na Namibia .
Hata South Sudan Garang got trained in Tanzania is only later on Kenya got involved after Tanzania n Uganda got involved!
Sana, that pic speaks volumes
Uache uongo na umbumbumbu
Hujaona video Magufuli akiwatembelea na kumwaga mihela mpaka wagonjwa wanacheka? Tanzania sio KenyaSasa hyo ndio inaonyeshe wagonjwa wenu wanafuraha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda kwanza ukawatembelee wale waliokutwa na ule mkasa...wacha kutafuta kiki za kijinga hku kenyan news
Wakenya ni vichwa maji wapenda sifa sehemu ambayo haipo. Hata ungewaeleza vipi vichwa vyao vimejaa majiHawa watu ni wa pumbavu, mpaka CIA wanajua ushiriki wa Tanzania kwenye ukombozi wa bara la Afrika
Wasome hiki kipande cha "CIA secret publication" kinachoonesha kwamba Tanzania ilishiriki mpaka ndani kabisa kwenye mazungumzo juu ya uhuru wa Zimbabwe
View attachment 1183379
Hehehe!! Kenya inawatesa sana nyie, nimekuja nikitazamia kusoma kuhusu hii historia ambayo huwa mnasema mlivyoikomboa Afrika na kuwasababishia umaskini ambao umekidhiri kwenu hadi leo, nimeishia kwenye aya/paragraph ya pili na kushindwa kuendelea maana hamna jipya, ni yale yale ya Kenya hiki Kenya kile, Wakenya hivi Wakenya vile....Hakuna sehemu mnaweza kukamilisha chochote bila kulia lia kuhusu Wakenya.
Bado nawakumbushia, yote haya hayana umuhimu kwa maisha ya leo, vijana wanataka ajira, umaskini umekolea, vyuma vimekaza, msipotumia akili kufanikisha biashara ya maana baina yenu na hao Wasouth, hizi mbwembwe hazitawasaidia vijana wenu ambao hawakumuona huyo Nyerere wala Mandela. Leo hii hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofanya biasahara na Wasouth licha ya kupewa visa bure.
Bado mnatajwa kwenye ndani ya mataifa maskini wa kutupwa dunia hii
Omba omba wenu wanazunguka kwenye nchi za majirani wenu....
![]()
Yani mpka sai unani quote...mbna umeumwa sana hvo mkuu...suluhisho uwache kwenda kw yale majukwaa yenu...manake wale ndo watanzania halisi wenye wanaonyesha vp akili zao zipo zipo tu...komaa hku hku afadhali
Hujaona video Magufuli akiwatembelea na kumwaga mihela mpaka wagonjwa wanacheka? Tanzania sio Kenya
Wewe si Ulisema nimeenda kwenye yale majukwaa, ili kudhibitisha kauli yako ya jana lete screenshot hapa tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitegemea kuiona hii comment ndio maana mnaongoza kwa slum's duniani
Sileti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na utazidi kuumia na huu ukwel...yani hapo karoho kanakuuma mpka basi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Usijali...haina haja ukatukanwe bure kule...we tulia hku tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka matibabu kagharamia!Wagonjwa wanacheka na wakati wengine hali zao ni mbaya...wacha sifa za kijinga...
Niumie kisa mkumbafu kama ww mwenye anapenda kuropoka alafu akibanwa anatafuta visingizio [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh "chotechote" hii lugha ipi!!!??We're not suckers ,Tz wacheni UONGO ati "bahari la misaada kwa sadc " hakuna chotechote mlichokifanya zaidi ya kuwapa ukimbizi wapiganiaji uhuru Sauzi na Namibia .
Tungekua legelege tusingevuka border yenu na kumchukua yule mtu wenu,mlivyo lege lege mliishia kurusha mawe tuNa baada ya hapo akakamata lindege lenu, yaani nyie watu legelege sana, mkiguswa sehemu huwa mnakenua na kujiachia full.