Hili ni zao gani?

Hivi Kuna product inayotokana na mirungi au unaliwa mzizi wenyewe? Namaanisha Kama cocaine zao ke ni opium poppy na eucaryptus coca. Je mirungi inatengenezwa na nini
Ailiwi mizizi bali majani yake mateketeke na yakishakomaa na kuwa magumu hayafai tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…