Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Kwa kipindi kirefu Clouds FM wamekua wakihaha kubrand wasanii wenye vipaji vikali ili kupata mtu ambae ataweza kutake over Diamond Platnumz. Mfano hawakina Marioo, na wengine wengi.

So, baada ya Harmo kutoka WCB basi nilijua hapa Clouds wanaenda kuchukua there best shot waliokuwa wakiihangaikia kwa miaka yote.

Sasa naombeni mkae mkao wa kushuhudia promo atakazokua anapigiwa Harmonise hamtoamini.

Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over Diamond.
 
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
 
Diamond mnamkosea heshima sana kumfananisha na mwanae harmonize au alikiba tunapozungumzia diamond platinum tunazungumzia kiumbe maarufu zaidi kuwahi kutokea Tanzania tokea Uhuru msisahau pia ndio icon ya taifa kwa sasa kimataifa hakuna anaeitangaza taifa kumzidi uyu kiumbe
 
Sio kirahisi kama unavodhani
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
 
"Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond. "

Toka Diamond atabiliwe kushuka ni zaidi ya miaka 5,bado yupo.Harmonize ni clone ya Diamond,ila Diamond ana kitu extra ambacho harmonize hana.

Mondi ni completely package ya Entertainer,Master Jay ana kauli yake anasema "ni rahisi kumfundisha mtu kuimba lkn huwezi kumfundisha kuwa entertainer",ndio maana Mondi ana show zaidi ya 90 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.

Sasa soko lake limehamia ktk nchi zinazoongea kifaransa,kwa kifupi baada ya mwaka huu ukitoa nchi za kiarabu,Mondi ameshapiga show karibia 95% ya nchi zote za africa .Kila mwaka ana achieve kitu kipya .

Mondi ataporomoka Muda na wakati wake ukifika kama wasanii wengine wakongwe ,lkn hamna atakayeweza kumshusha HAYUPO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…