Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Kwa kipindi kirefu Clouds FM wamekua wakihaha kubrand wasanii wenye vipaji vikali ili kupata mtu ambae ataweza kutake over Diamond Platnumz. Mfano hawakina Marioo, na wengine wengi.
So, baada ya Harmo kutoka WCB basi nilijua hapa Clouds wanaenda kuchukua there best shot waliokuwa wakiihangaikia kwa miaka yote.
Sasa naombeni mkae mkao wa kushuhudia promo atakazokua anapigiwa Harmonise hamtoamini.
Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over Diamond.