Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Nisiwe mnafki, hapo umenifanya nifikirie sana,,,,na nimekosa cha kukujibu mkuu
 
hiyo post imekuaminisha kuwa clouds wana nia ya kumshusha msanii mwingine.

je na efm pia nia yao ni hiyo?
Sijajua kuhusu efm,,,,mana hawajawahi kuwa na tatizo na wcb wala harmo, na ngoma zake since before zinalindima sana pale.......sasa sidhani kama wao kumpost kunaleta mshangao wowote,,,,

Am talking about watu ambao hawajawahi kupiga mziki wake wala kumsupport kwa takribani miaka kadhaa sasa,,,

So leo kumpost imekuwa ni jambo la kushangaza na kufanya watu kujiuliza, why? What is happening? And what next?
 
Nisiwe mnafki, hapo umenifanya nifikirie sana,,,,na nimekosa cha kukujibu mkuu
Nikuambie kitu ,tuyaache haya mambo,ila muda utaongea tu,mziki wa sasa hivi upo open sana anayefanya vizuri anaonekana na anayefanya vibaya anaonekana.
 
unafahamu mahusiano baina ya meneja mpya wa Harmonize na Clouds media??

Mgogoro upo baina ya mnagament ya wcb na clouds media, leo hii Harmo hayupo tena wcb. simple tu kun'gamua.
 
Nikuambie kitu ,tuyaache haya mambo,ila muda utaongea tu,mziki wa sasa hivi upo open sana anayefanya vizuri anaonekana na anayefanya vibaya anaonekana.
Its true mkuu, nakubaliana na wew, tusubiri tuone
 
unafahamu mahusiano baina ya meneja mpya wa Harmonize na Clouds media??

Mgogoro upo baina ya mnagament ya wcb na clouds media, leo hii Harmo hayupo tena wcb. simple tu kun'gamua.
Hivi unafahamu ya kwamba chanzo cha Mondi kugombana na Clouds Media ilikua ni kutetea maslahi ya Harmonize?..Yaani namaanisha chanzo cha ugomvi kati ya WCB na Clouds Media ni Harmonize?
 
Ukiacha wasanii waliopo WCB..wasanii wengine wote bongo wanaiona Clouds as there first target,they can't even mess with them...Hawa jamaa bado wananguvu sana kwenye Industry hii ya burudani bongo
Hili nalo lina ukweli....wana nguvu ivii...ukizingatia na wanavyojua ku promote kazi zao. Pia ni radio ambayo inasikilizwa sana na watu wengi. Wingi wa matangazo ya biashara unawaweka juu.
 
Still wanafanya hivyo mara zote, ila pia wasanii wanafeli kwa kutojitambua, wanaishia kubweteka na promo zisizowajenga kuwa bora. Mfano ni Alikiba.
Mi nashangaa sana wasanii wengi wakubwa wanashindwa kuandaa show kabisa adi wasubiri Fiesta mfano Fid q ...
 
Na hyo ndo inafanya mim nione kuwa Harmonize hata bila WCB anaweza kupiga mzigo fresh na raia tukaelewa....kikubwa juhudi, ubunifu na ujanja tu
Nafikiri ishu si Harmonize pekee, ila timu iliyo nyuma kazi zake wana jukumu kubwa zaidi la yeye kufanya vizuri au kuharibu.
 
Still wanafanya hivyo mara zote, ila pia wasanii wanafeli kwa kutojitambua, wanaishia kubweteka na promo zisizowajenga kuwa bora. Mfano ni Alikiba.
True
 
Bado nguvu yao ni kubwa sana
Hili nalo lina ukweli....wana nguvu ivii...ukizingatia na wanavyojua ku promote kazi zao. Pia ni radio ambayo inasikilizwa sana na watu wengi. Wingi wa matangazo ya biashara unawaweka juu.
 
hapa wanaweza kuwin coz dogo anajua kila kitu about wasafi na hapa ndo battle itakua kubwa kuliko hata ya kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…