WCB never Battles...hapa wanaweza kuwin coz dogo anajua kila kitu about wasafi na hapa ndo battle itakua kubwa kuliko hata ya kiba
Si Kwa Platnumz...media zina promoti bif..
Kubaliana nao tu...[emoji1][emoji1][emoji1]wapi diamond kasema anashindana na harmo
Kwa kipindi kirefu clouds fm wamekua wakihaha kubrand wasanii wenye vipaji vikali ili kupata mtu ambae ataweza kutake over diamond platnumz..
Mfano hawakina Marioo, na wengine wengi.
So baada ya harmo kutoka WCB basi nilijua hapa clouds wanaenda kuchukua there best shot waliokuwa wakiihangaikia kwa miaka yote.
Sasa naombeni mkae mkao wa kushuhudia promo atakazokua anapigiwa harmonise hamtoamini.
Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond.View attachment 1237273
Hahahaha jamaa goigoi sana sijui huwa linategemea nini kuwa namna ile katika dunia hii ya ushindani
Waberoya me kiba ninamkubali Sana hata kwenye simu ya ngoma zake ni ninazo ingawa wewe unaona Kama namchikia sema mambo yake anayofanya inakuwaga inaniuzi Sana tuje kwenye kiini Cha mada yako mbona kiba alitoa ngoma mfululizo mfano ngoma ya hela na mbio mbona zilifeli zote.Ingekuwa kiba ataki ushindani asinge rusha vijembe kwa mond wakati anataka kurudi kwenye game maana hapa ndio ushindani ulipoanzia tena angeacha ngoma ya mwana iongee yenyewe bila kurusha madongo kwa mond ndio ingekuwa inajustify kuwa apendi ushindani.Hivi hizi beliefs mnaambiwa na nani?
kila mwanamuziki anawapenzi wake hata kama ni mmoja
Kiba kakaa kwenye game for years, hana mzuka wa kushindana na ndio yuko hivyo hajabadilika!! 😂😂 kusema clouds wana mbrand sio tu unadanganya bali ni kama unasema clouds hawana akili
Kiba hawezi to ngoma mfululizo, si yey si kings music...ila all the time yuko mdomoni mwa watu
utatoa nyimbo kum, atatoa moja..na atasikika tu, usitufanye hatuyajuia haya
unaweza weka list ya promo ya marioo ambayo unaamini clouds wamefanya kumuweka juu ya diamond?
in other words unataka kusema marioo hajui au?
Kwa nini unataka waanguke badala ya kuwaombea wote wainuke?Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
Clouds haiwez kuanguka labda konde boiNinatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
Humu comment za watu wakitaka huyu msanii a fail zitakuwa kwa wingi ..kikubwa tuu tumtakie heri maana hakianguka au kufanikiwa sisi haiongezi pesa mifukoni kwetu.
Wewe una akili sana...
Mie nimetabili tu,inaweza ikawa au isiwe pia.Kwa nini unataka waanguke badala ya kuwaombea wote wainuke?
Inatakiwa Hamornize aendelee kupaa juu na aendelee kufanya kolabo nyingi za nje.
Na sio aanguke tena.
Im I missing some point?
Usije baadae ukatafuta PA kujificha tuNinatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
Walijaribu kumpaisha kiba wameshindwa kwa diamond clouds watapata tabu Sana Mondy ngoma ngumu Kama ukuta wa Berlin.
Ndio maana nimeomba comment hii tuipe mwaka m1 kila kitu kitakuwa wazi.Usije baadae ukatafuta PA kujificha tu
Rudia kusoma nilichoandika kwa umakiniHivi hizi beliefs mnaambiwa na nani?
kila mwanamuziki anawapenzi wake hata kama ni mmoja
Kiba kakaa kwenye game for years, hana mzuka wa kushindana na ndio yuko hivyo hajabadilika!! [emoji23][emoji23] kusema clouds wana mbrand sio tu unadanganya bali ni kama unasema clouds hawana akili
Kiba hawezi to ngoma mfululizo, si yey si kings music...ila all the time yuko mdomoni mwa watu
utatoa nyimbo kum, atatoa moja..na atasikika tu, usitufanye hatuyajuia haya
unaweza weka list ya promo ya marioo ambayo unaamini clouds wamefanya kumuweka juu ya diamond?
in other words unataka kusema marioo hajui au?