Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Kwa kipindi kirefu clouds fm wamekua wakihaha kubrand wasanii wenye vipaji vikali ili kupata mtu ambae ataweza kutake over diamond platnumz..

Mfano hawakina Marioo, na wengine wengi.

So baada ya harmo kutoka WCB basi nilijua hapa clouds wanaenda kuchukua there best shot waliokuwa wakiihangaikia kwa miaka yote.

Sasa naombeni mkae mkao wa kushuhudia promo atakazokua anapigiwa harmonise hamtoamini.

Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond.View attachment 1237273

Hivi hizi beliefs mnaambiwa na nani?

kila mwanamuziki anawapenzi wake hata kama ni mmoja

Kiba kakaa kwenye game for years, hana mzuka wa kushindana na ndio yuko hivyo hajabadilika!! 😂😂 kusema clouds wana mbrand sio tu unadanganya bali ni kama unasema clouds hawana akili

Kiba hawezi to ngoma mfululizo, si yey si kings music...ila all the time yuko mdomoni mwa watu

utatoa nyimbo kum, atatoa moja..na atasikika tu, usitufanye hatuyajuia haya

unaweza weka list ya promo ya marioo ambayo unaamini clouds wamefanya kumuweka juu ya diamond?

in other words unataka kusema marioo hajui au?
 
Waberoya me kiba ninamkubali Sana hata kwenye simu ya ngoma zake ni ninazo ingawa wewe unaona Kama namchikia sema mambo yake anayofanya inakuwaga inaniuzi Sana tuje kwenye kiini Cha mada yako mbona kiba alitoa ngoma mfululizo mfano ngoma ya hela na mbio mbona zilifeli zote.Ingekuwa kiba ataki ushindani asinge rusha vijembe kwa mond wakati anataka kurudi kwenye game maana hapa ndio ushindani ulipoanzia tena angeacha ngoma ya mwana iongee yenyewe bila kurusha madongo kwa mond ndio ingekuwa inajustify kuwa apendi ushindani.
 
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
Kwa nini unataka waanguke badala ya kuwaombea wote wainuke?

Inatakiwa Hamornize aendelee kupaa juu na aendelee kufanya kolabo nyingi za nje.
Na sio aanguke tena.

Im I missing some point?
 
Kwa nini unataka waanguke badala ya kuwaombea wote wainuke?

Inatakiwa Hamornize aendelee kupaa juu na aendelee kufanya kolabo nyingi za nje.
Na sio aanguke tena.

Im I missing some point?
Mie nimetabili tu,inaweza ikawa au isiwe pia.
 
Clouds wanacheza na soko la ndani zaidi wakati diamond na wcb yake wanasema ndani siyo tageti yao zaidi
 
huwa naumia saana mnapo mfananisha harmonize na diamond. diamond atabaki kuwa juu siku zote anajua kubadilika na anajua mashabiki tunataka nini. huyo harmo ngoma zake zoote zinafanana habadiridiki na nasemaga kila siku hakuna msanii tanzania anaweza kutoa ngoma kama HALLELUJAH. na katika wasanii ambao kidogo naona wanaweza ni marioo anajua kubadilika yaani yule ndo mondi wa nne.
 
Alikiba wamemshindwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Duniani kuna heka heka sana.
 
Hivi hizi beliefs mnaambiwa na nani?

kila mwanamuziki anawapenzi wake hata kama ni mmoja

Kiba kakaa kwenye game for years, hana mzuka wa kushindana na ndio yuko hivyo hajabadilika!! [emoji23][emoji23] kusema clouds wana mbrand sio tu unadanganya bali ni kama unasema clouds hawana akili

Kiba hawezi to ngoma mfululizo, si yey si kings music...ila all the time yuko mdomoni mwa watu

utatoa nyimbo kum, atatoa moja..na atasikika tu, usitufanye hatuyajuia haya

unaweza weka list ya promo ya marioo ambayo unaamini clouds wamefanya kumuweka juu ya diamond?

in other words unataka kusema marioo hajui au?
Rudia kusoma nilichoandika kwa umakini
 
Duuu Mara ya mwisho nlionaga haya kwa marehemu Wacko Jacko!
 
Attachments

  • Always Humbled to my People _pray_type_5_ ( 418 X 750 ).mp4
    7.1 MB
Back
Top Bottom