Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Humu comment za watu wakitaka huyu msanii a fail zitakuwa kwa wingi ..kikubwa tuu tumtakie heri maana hakianguka au kufanikiwa sisi haiongezi pesa mifukoni kwetu.

zaidi zaidi kodi itapungua coz atakuwa haingizi sana kwa sababu unalipa kadri ya mapato uliyopata( pay as you earn [PAYE])
 
Kwani hatuwezi kutengeneza kina Diamond wengine hata 10 bila kumshusha Diamond halisi? Kwa nini mnahisi media kumsapoti Harmonize ni kutaka kumshusha Diamond?

Kwa mfano Diamond kasaidia vijana wengi sana hapa mjini Hatmonize akiwa ni mmoja wao , hebu fikiria tungekuwa na kina Diamond 10 Wanhepiga jeki vijana wangapi mtaani? Mbona inawezekana tu hata wangekua 100 kila mmoja atapata keki yake bila kuathiri keki ya mwenzake!

Mashabiki hebu elekezeni nguvu zenu kuwasapoti vijana wapambanaji badala ya kuwachongaanisha kwa vitu bisibyo na maana yoyote
 
Hiyo clouds mlianza kuitabiria anguko miaka na miaka ila bado tu inachanja mbuga na moto ni ule ule
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
 
kinachokuja kuuma ni hiki yan
umespend time yako kumwagilia mti kuutunza mpaka umekua umeanza kutoa matunda msimu wa kwanza ila bado hata hujaufaidi anakuja mtu anajimilikisha pasipo kuona jasho ulilotumia daaaah inauma sana
 
Harmo hashindani na mtuu ila pale wcb hakuna anaye mfikia harmonize
 
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
Haya maanguko yenu mbona huwa siyaoni kabisa yanavyotokea?
 
kinachokuja kuuma ni hiki yan
umespend time yako kumwagilia mti kuutunza mpaka umekua umeanza kutoa matunda msimu wa kwanza ila bado hata hujaufaidi anakuja mtu anajimilikisha pasipo kuona jasho ulilotumia daaaah inauma sana
dont take anything for granted hamkumbuki ile methali tenda wema uende zako? inakuwaje sasa mnademand a favour in return mnaonekana watu wa ajabu sana.. hivi zile account mmeshamwachia au bado mmezishikilia?
 
Tasisi kushindana na mtu mmoja wana tabu sana dah,

Kiba wamepromote adi wakachoka wakaona kichwa cha mwendawazimu wamevunga saivi.

Maisha ya sanaa figisu siku zote, acha warumbane tu atakae kuwa mwamba huyo huyo, ata wakimpromote harmorapa poa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…