"Sasa je, unadhani Harmo na Ali wanafanana karika spirit ya mapambano ya kimuziki!!?"
Kipindi cha nyuma wakati Harmonize anatoka,humu kulikuwa na thread nyingi za kumponda Harmonize sauti yake inafanana na Diamond.Mondi alifight sana kumpromoti Harmonize ,Harmonize akawa anatoa nyimbo mfululizo,huku Diamond akawa anajizuia kutoa nyimbo ili watu waizoee sauti ya Harmonize waitofautishe na yake.
So spirit ya mapambano ya Harmonize nyuma yake alikuwa anapewa support kubwa na Diamond,plus Sallam na ndio maana kwa WCB ,Harmonize alifanikiwa kufanya kolabo na wasanii wakubwa,kuliko msanii yoyote yule.Je sasa hivi connection kama hizi anazo? Je atatokea mtu wakusucrifice kama alivo fanya Diamond kumpigania mpaka kuwa msanii mkubwa ,wakati mwanzo walikuwa wana mponda mara hoo hajui kuimba,mara sauti yake inafanana na Diamond.