GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndicho kilichobaki kwa sasa, kubebishana --- maendeleo yaliyoimbwa kwenye kampeni si kipaumbele kwa sasa. Yamebaki magofu tuuuuu ya hotuba ambazo baadhi huziita kuwa tamu. Tamu!??? Shame on you. Nchi hii imerudishwa nyuma hatua 1000 za maendeleo kwa naivity, woga, ulimbukeni, na kupenda kusifiwa na kusemwa vizuri kwa huyu Bi Mkubwa.
Miezi miwili ndo kumebaki magofu?
Utaugua uchizi soon
Magufuli is dead and buried...
Ya kuku mayaiya Mungu mengi .