GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila mara tu nimwonapo Mama yetu wa Kizanzibari akikutana na Mzee Wetu Mstaafu wa Pwani Bagamoyo naona huwa anafurahi na kuwa na 'Bashasha' nyingi sana zenye Mithili ya Kimahaba ( Upendo wa Kibaiolojia ) zaidi.
Binafsi natamani mno kama hawa ( huyu Mama Mzanzibari na Mzee wa Kipwani ) kama wangekuwa Mke na Mume kwani 'Matabasamu' yao ya 'Kimahaba' huku wakiwa wanaoneana 'Aibu' inaleta Raha na Burudani Kuwaangalia hasa kwa Sisi Wadau 'Tukuka' wa Mapenzi ( Upendo )
Zanzibar na Bagamoyo ni Kuzuri mno tu.