Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Kwendeni hukoNdo tumeshauriwa sasa kua ukiona mwenzio kanyoa, usikose kondom[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwendeni hukoNdo tumeshauriwa sasa kua ukiona mwenzio kanyoa, usikose kondom[emoji3]
Mwenyewe manz angu nilimshauri anyoe ana looks sexy sana bila wigi. Kwanza huwa linamzeesha sanamy crush ananyoa hvo aiseh, kifuoi anapendeza hadi sio vizuri na miwano yake kwa mbali naweza dhan malkia wa nchi fulani.... Wengi wanaonyoa wanalook classy na wanapendeza sana
Huwezi mchagulia mtu style yake , wengine hawapendi kusuka wanapenda kunyoa hizo nywele asili.
Ha haa kiukweli yanakeraKuna jirani yangu mmoja alivaa yale makatani ya rangi ya maziwa, ile namuona nikajua ni mfagio.
Kwani mvi zimeanza? Mbona sikuwahi kuona za kule[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani, mbona hiyo unapaka hata kama una nywele ndefu.
Ila mie kweli napaka kuficha mvi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mvi zimeanza? Mbona sikuwahi kuona za kule[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125]
Natural ndio hivyo sasa wananyoa. Au mnataka wanyoe kipara kama papuchi ya mwari?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Wabaki nechoroo
Market price.Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa denge/kiduku/panki kama wenyewe tusemavyo.
Hii ni ishara kwamba wanaume wameacha kutoa fedha za kusukia.
I'm off
.View attachment 1100563
NipeSikupati mrembo au nikupe yangu
naam binamu....Si haramu
Heeee,ever knew this!Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.
Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi