Hili sio Bunge tena bali ni genge la watafuna kodi za walalahoi wanaosifia Royal tour isiyokuwa na tija

Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
Huo ndiyo urithi ulioachwa na lile jinamizi la kihutu linaloteseka huko jehanam. Aliingiza vilaza ili waje wamrahisishie kumsimika kuwa mfalme. Tulieni dawa iwaingie vizuri,haya ndiyo matunda ya wizi wa kura.
 
Tafuta kazi ufanye, ni kweli unakera sana na ma thread yasiyo na kichwa wala miguu kuponda kila kitu cha Samia.

Unalipwa nini kwani kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki?

Na ninakukanya jibu kwa staha, ukifungulia matusi nitakujibu kwa matusi.
Huyu masikini wa akili anabebwa na mods kumchafua Mh. Rais Samia hapa JF.
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-082128.png
    Screenshot_20220604-082128.png
    51.7 KB · Views: 4
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
Haya ndiyo matunda ya wizi wa kura,,kichaa aliondoa watu wenye weledi kuanzia kwenye kura za maoni huko CCM hadi kwenye uchaguzi mkuu uliopita akajaza wapuuzi kutwa nzima wanajadili mambo ya ngono na magovi tu. Tulieni dawa iwaingie vizuri
 
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
Ndiyo mliowataka kwa kuwapigania,kuwafanyia kampeni na hata kuiba kura ili tu wawe mlivyotaka.Waendelee hivyohivyo wasibadilike.Mvune mlichokipanda na mkile kwa furaha.
 
We shoga nilishakublock lakini bado unanisumbua.unataka nini? Malaya wa kiume mkubwa.
Muwe mnajibu hoja zao au kuwaelewesha kwa busara.Hilo la kuwapa majina watu kwamba ni "Mashoga" haisaidii kitu.Utambandika mtu jina kwamba ni shoga wakati hata haujawahi kumuona uso kwa macho.Kujibu kwa kupanic nao ni utepetevu wa kimtazamo.Jibu hoja!
 
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
Kama ulimpenda sana kazikwe naye usipoteze muda wako bure kwa kulalamika ukijua wazi hakuna atakaye kusikiliza.
 
Back
Top Bottom