Hili suala la ku-verify vyeti kwa mwanasheria limekaaje ?

Codename96

Member
Joined
Sep 17, 2020
Posts
90
Reaction score
85
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.'

Binafsi, naona hili suala sijalielewa.

Kwanini tunapaswa ku-verify vyeti ? Ina maana institute tulimosoma hazijulikani, au haziaminiki ? TCU taarifa za wanafunzi wanazo pia kwanini vyeti vifanyiwe verification ?

Vyeti vyote vya msingi hapa Tanzania vinatolewa na mamlaka husika, halali na zinazoaminika, kwa mfano Cheti cha kuzaliwa: RITA, cheti cha form 4: NECTA.

Kwanini visiaminike mpaka viwe na muhuri wa mwanasheria ?

Ushauri tu: Taarifa za vyeti zipo mamlaka husika ambayo imetoa vyeti hivyo. Kama cheti kina walakini bora muajiri akauliza mamlaka husika ikiwa cheti hicho ni halali ila suala la verification ni la ajabu kidogo.
 
Umewaza vyema sana, nchi yetu Bado changa ...

Ni Sawa na kutakiwa kuwasilisha NIDA ID na wakati huohuo barua ya utambulisho Kutoka S/Mtaa ikihitajika.
 
We only certify copies of documents and not original documents. It is unprecedented to certify original document inasmuch as the document is authentic by itself. Perhaps they meant that you have to certify copies of your certificates but you might have got them wrong.
 
Msomi muwekee kwa kiswahili...nadhani mkuu amechanganya tu kuhusiana na kwa nini vyeti au nyaraka, nakala zake huwa zinatakiwa kuwa certified? Nani amepewa mamlaka ya ku certify nyaraka?

Nini maana ya ku certify nyaraka?
 
Kwanza kwanini wanaverify kwanini wasisubirie kitakapokuwa kinahitajika kwa ajiri ya kazi anayeniajiri ndiyo akaverify huko chuoni. Wao wanagonga muhuri kama nani katika cheti changu. Kwani nimeomba kazi kwao hadi wahitaji kuverify
 
We only certify copies of documents and not original documents. It is unprecedented to certify original document inasmuch as the document is authentic by itself. Perhaps they meant that you have to certify copies of your certificates but you might have got them wrong.
Ungeweka kwa lugha yetu watu waelewe.

Unachosema ni kwamba kinacho thibitishwa (certify) ni nakala na si nyaraka halisi (origional). Mtoa mada alidhani nakala halisi inahitaji kuthibitishwa, si kweli.
 
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.'

Binafsi, naona hili suala sijalielewa.

Kwanini tunapaswa ku-verify vyeti ? Ina maana institute tulimosoma hazijulikani, au haziaminiki ? TCU taarifa za wanafunzi wanazo pia kwanini vyeti vifanyiwe verification ?

Vyeti vyote vya msingi hapa Tanzania vinatolewa na mamlaka husika, halali na zinazoaminika, kwa mfano Cheti cha kuzaliwa: RITA, cheti cha form 4: NECTA.

Kwanini visiaminike mpaka viwe na muhuri wa mwanasheria ?

Ushauri tu: Taarifa za vyeti zipo mamlaka husika ambayo imetoa vyeti hivyo. Kama cheti kina walakini bora muajiri akauliza mamlaka husika ikiwa cheti hicho ni halali ila suala la verification ni la ajabu kidogo.
Ni kitu Cha kawaida tangia 2007 Mimi nilifanya hizi verification,Wala Haina matatizo hata Mimi siku nafanyiwa niliona Kama kero Fulani,lakini Ni kitu Cha kawaida ,
 
Hii sheria ya notary public and commissioner for oath ilianzishwa na wakoloni tokea mwaka 1928.
Tumeendelea kuitumia hadi Leo
Na kwa mujibu wa sheria sio wanasheria tu ndio wamepewa mamlaka ya Ku certify nyaraka kuna hadi maafisa tawala walioajiriwa na Serikali.
Hii kwa mtazamo wangu iliwekwa ili kuwezesha nakala za nyaraka kupata hadhi ya kisheria .
Hili suala kwenye baadhi ya nchi ni muhimu na linaheshimika Sana kwani wanawaamini Sana notaries wa huko na huwa hawagongi muhuri tu kama kwetu wana kwenda kuihakiki kwanza na ndio wanakugongea muhuri. Sio suala la siku moja tu unakwenda unagongewa muhuri wa kuwa certified as true copy of original. Na ikitokea wamecertify wrong document wanaweza kunyang'anywa Leseni.
Suala hili linasaidia kupunguza muda kwenye mamlaka nyingine za maamuzi.
Kwa hiyo wewe Kama umepata nafasi hiyo certify copy nyingi hata zaidi ya kumi ili usisumbuke huko baadae
Mi nakumbuka nilipomaliza Chuo nilipewa pamoja na original zao nakala 5 za cheri pamoja na transcript zilizokuwa certified na Chuo chenyewe bure ukitaka zaidi ya hapo unalipia sikuwaelewa wakati huo ila baadae nilikuja kuwaelewa nilipokuwa naaply kusoma elimu ya juu nikakutana na Chuo kilichokuwa kinataka nakala ya transcript na cheti kilichokuwa certified na mamlaka/ chuo walionipa hiko cheti. Na kuna baadhi ya vyuo huko nje wanataka hardcopy ziwe sealed na Chuo . UDSM walishanifanyia hiyo kitu walicertify transcript na cheti wakaviweka kwenye bahasha ya UDSM wakaifunga wakaigonga muhuri kuiseal hiyo bahasha wakanipa nikaambatisha na kwenye application package niliyoituma huko nje.
Na kwa sasa ukisoma nje ya nchi ukija na Cheti chako hapa bongo sheria inataka cheti /elimu yako hiyo kuwa certified na TCU
 
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.'

Binafsi, naona hili suala sijalielewa.

Kwanini tunapaswa ku-verify vyeti ? Ina maana institute tulimosoma hazijulikani, au haziaminiki ? TCU taarifa za wanafunzi wanazo pia kwanini vyeti vifanyiwe verification ?

Vyeti vyote vya msingi hapa Tanzania vinatolewa na mamlaka husika, halali na zinazoaminika, kwa mfano Cheti cha kuzaliwa: RITA, cheti cha form 4: NECTA.

Kwanini visiaminike mpaka viwe na muhuri wa mwanasheria ?

Ushauri tu: Taarifa za vyeti zipo mamlaka husika ambayo imetoa vyeti hivyo. Kama cheti kina walakini bora muajiri akauliza mamlaka husika ikiwa cheti hicho ni halali ila suala la verification ni la ajabu kidogo.
Bora vihakikiwe tu ,mnajiita wanasheria wasomi wakati ni makanjanja tu na suti zenu za elfu 30.
Huyo mkongwe wenu kibatali sijui mpk leo ni kesi ya Malyenge kuahirishwa tu mara kikwazo kile mara pingamizi sijui nini mara asinywe maji mara apewe gari special kumpeleka mahakamani.
Huo upuuzi sijawai kupna mawakili vilaza namna hii
 
Back
Top Bottom