Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.'
Binafsi, naona hili suala sijalielewa.
Kwanini tunapaswa ku-verify vyeti ? Ina maana institute tulimosoma hazijulikani, au haziaminiki ? TCU taarifa za wanafunzi wanazo pia kwanini vyeti vifanyiwe verification ?
Vyeti vyote vya msingi hapa Tanzania vinatolewa na mamlaka husika, halali na zinazoaminika, kwa mfano Cheti cha kuzaliwa: RITA, cheti cha form 4: NECTA.
Kwanini visiaminike mpaka viwe na muhuri wa mwanasheria ?
Ushauri tu: Taarifa za vyeti zipo mamlaka husika ambayo imetoa vyeti hivyo. Kama cheti kina walakini bora muajiri akauliza mamlaka husika ikiwa cheti hicho ni halali ila suala la verification ni la ajabu kidogo.