Hadi wale weusi wenzetu wamefanya hivyo hivyo.Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi hivi?!!!
Sio mpenzi wa simba na kwa hakika natamani wafungwe 5 bila lakini nachukia hv vitendo visivyo vya kirafiki.
Kwani hizo hotel ni za kwenu?Hadi wale weusi wenzetu wamefanya hivyo hivyo.
Wawe wanakuja na ma tent ⛺ kabisa ili wasiingie hata kwenye hotel zilizopo hapa Tz.
Kwasababu unabeba kila kitu lakini unaenda kulala Hyatt au Serena.
Asilimia 90 ya wafanyakazi humo ni Watanzania.Kwani hizo hotel ni za kwenu?
Sawa, lkn bado hujanijibu kuhusu kanuni tulizonazo km zinagusa eneo hilo.Mbali ya kuwa mchezo tambua huo ni ushindani na ni biashara pia.
Muwe mnaelewa basi, nauliza kanuni tulizohazo hazijagusa huko?!!!!Sasa broo wew unalazimisha mgeni ale kwako au alale kwako na kasem ntakula hotelini au ntalal hotelini una hoja dhaifu san huwez lazimisha mtu katik mambo ya meal and accomodation kikubwa si anajiwez eeh anajilipia yey sasa unatak nini tena kwamba umlazimishe
Timu zikuje na kila kitu, ila cha ajabu zinategemea mashabiki wa hapa nchini.
NA TAYARI AJALI IMETOKEA KWA MASHABIKI WA SIMBA WALIOKUWA WANAKWENDA DAR.Waliosababisha haya yote ni Simba. Simba ni wajinga sana na wanaendekeza sana USHIRIKINA. Pia inasemekana wachawi wengi hapa Tz ni mashabiki wa Simba. Hizi takwimu zimechukuliwa kwa baadhi ya waganga wa kienyeji waliohojiwa. Ila inasemekana kuwa kwenye nyumba za ibada wanaohudhuria kwa wingi ni mashabiki wa Yanga.
Hii naweza kuiamini kwasababu katika maisha ya huko vijiweni na makazini wanaoendekeza ushirikina ukifuatilia utakuta ni shabiki wa Simba
Hakuna kanuni inayokataza ndio maana hatujawahi sikia timu imeadhibiwa kwa kuja na vitu vyake.Sawa, lkn bado hujanijibu kuhusu kanuni tulizonazo km zinagusa eneo hilo.
Waulizwe NYUMA MWIKO FC,,wao ndy waliokwenda kuwaambiya wapinzani wa simba kwamba wakija wawe makini nq vyakula na malazi yao,,Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi hivi?!!!
Sio mpenzi wa simba na kwa hakika natamani wafungwe 5 bila lakini nachukia hv vitendo visivyo vya kirafiki.