- Thread starter
- #21
Una ushahidi na hili au unaongeaongea tu kama umepinduka na boti baharini?Waulizwe NYUMA MWIKO FC,,wao ndy waliokwenda kuwaambiya wapinzani wa simba kwamba wakija wawe makini nq vyakula na malazi yao,,
Kwamba simba watawawekea sumu kwenye chakula na vyumba vya kubadilisha nguo.