Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

Waulizwe NYUMA MWIKO FC,,wao ndy waliokwenda kuwaambiya wapinzani wa simba kwamba wakija wawe makini nq vyakula na malazi yao,,
Kwamba simba watawawekea sumu kwenye chakula na vyumba vya kubadilisha nguo.
Una ushahidi na hili au unaongeaongea tu kama umepinduka na boti baharini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…