Hili suala la Tuisila Kisinda na Clatous Chama linanishangaza

Sawa mbumbumbu FC na mbeleko fc
Luc Eymael anasema YANGA NI MBWA NA NYANI. HAWANA AKILI. NMEAMINI. MORRISON HACHEZI SIMBA. KACHEZA KAMALIZA LIGI. Sasa mtapewa hoja nyingine mhangaike nayo. Simba mabingwa mara 4 MFULULIZO. CAF,CAS,FIFA WOTE WANAIBEBA SIMBA. Yanga inabebwa na Mzee Mpili kama Mambwa au Nyani mnapiga tu kelele... Simba wanabeba Kombe ninyi mnabeba wachezaji. Hamwezi kuwa na akili.
 
Afadhali ushabiki maandazi itakula andazi ni chakula. Wewe una ushabiki mavi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Childish article...
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni, Mapaka nyieeee
 
Huwezi kufanya ulinganisho wa wachezaji wawili wanaocheza nafasi tofauti, hii ni sawa na kufanya ulinganisho kati ya kahaba na malaya, ni watu wawili tofauti ingawa wayatendao yanashabihiana. Chama ni kiungo mshambuliaji (namba 10) wa Simba wakati Tuisila ni winga ya kulia (namba 7) ya Uto, wanamajukumu tofauti.
 
Watopolo hawapendi stori hizi ujue,utarogwa.
 
Baadhi ya mashabiki wa mbumbumbu fc hawajui kwamba Mrisho Ngasa alikua mfungaji Bora Ligi ya Mabingwa 2014 licha ya timu yake ya Yanga kutofika fainal. Alipachika jumla ya goli 6.
Ally Thuwm ndio alikuwa mtanzania wa kwanza kubeba kiatu tena peke yake 1978
 
In real sense kisinda na chama wakizidiana saana miak miwili tu
 
Us Chama ni mzuri akicheza na hizi timu underdogs lakini hawezi kucheza na hizi timu za kiwango akawa na madhara
 
Us
Chama ni mzuri akicheza na hizi timu underdogs lakini hawezi kucheza na hizi timu za kiwango akawa na madhara
CAF wamemchukua katika 11th yao. But sasa Simba imechukua Ubingwa wa VPL. Yanga wamekuwa washindi wa Pili kwa miaka 4 mfululizo Yanga nao ni underdogs. So Yanga wao wana matches mbili tu ktk msimu. Wanapocheza na Simba. Ni kawaida kwa Underdogs kukamia team kubwa ndo maana wakitoka hapo unaona wanakuwa na uchovu bado. Simba Mabingwa wa VPL yenye team 18 na yanga ikiwepo. Na Chama ana assists 15. Yanga kwa nini hamjifunzi? Mnakalia tu uchawi. Nyie kweli Manyani na Mambwa
 
Wewe kipindi una miaka 22 ulikuwa kama kisinda, yule hakosi 28
 
Umeshaona comment ya watopolo hapo juu no.3,wanakwambia mbio za Kisindi ni kwaajili ya kumkimbiza Onyango na Zimbwe jr tu[emoji23][emoji23],hao ndo mashabiki wa Utopolo jinsi walivyo.
Aisee [emoji848]
 
Duuuh [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…