Mmmh [emoji848]Duh,hii sijaipata mwanangu,kumbe Chama mpaka jicho la kimataifa limemuona!
Kama hiviLuc Eymael alisema YANGA NI MBWA NA MANYANI TU hawana akili wanapiga kelele kama hao wanyama. Sasa nmemwelewa. Hakukosea.[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Unakumbuka mechi ya nusu fainali kombe la shirikisho alichowafanya ?Tuisila ana miaka 22 bado umri mdogo na ana nafasi kubwa ya kuendelea kua mtamu, ana muda wa kuendelea kuji funza . Chama yeye ndio amefikia kwenye ubora wake na kwa Hali ilivyo Pale Simba ndio amesha maliza Hana nafasi ya kucheza ulaya Wala Timu yoyote kubwa au Ligi yoyote yenye ushindani mkubwa. Anamalizia pensheni yake, Kasi ya uchezaji wake haimpi nafasi ya kucheza kokote kwenye mpira wa nguvu na Kasi. Mfano Siku ambayo anacheza dhidi ya Yanga mpira unakua na Kasi Sana na nguvu kubwa, pale chama uwa anapotea kabisa na mechi za aina hii ndizo zilizopo katika nchi zenye ushindani.
unajua mada inazungumzia nini ??Tuisila ana miaka 22 bado umri mdogo na ana nafasi kubwa ya kuendelea kua mtamu, ana muda wa kuendelea kuji funza . Chama yeye ndio amefikia kwenye ubora wake na kwa Hali ilivyo Pale Simba ndio amesha maliza Hana nafasi ya kucheza ulaya Wala Timu yoyote kubwa au Ligi yoyote yenye ushindani mkubwa. Anamalizia pensheni yake, Kasi ya uchezaji wake haimpi nafasi ya kucheza kokote kwenye mpira wa nguvu na Kasi. Mfano Siku ambayo anacheza dhidi ya Yanga mpira unakua na Kasi Sana na nguvu kubwa, pale chama uwa anapotea kabisa na mechi za aina hii ndizo zilizopo katika nchi zenye ushindani.
tuisila role yake ni kukimbiaRole ya Tuisila uwanjani ni ipi?
Role ya chama uwanjani ni ipi?
Tuanzie hapo kwanza
CAF Champions League katoka na magoli manne hizo takwimu alitoa rais wa TFF pia ?Takwimu Bongo na kwa mbeleko mnazo pata kupitia kwa raisi wa Tanzania Footbal Failure
Ametengeneza nafasi ngapi za kufunga magoli na chama katengeneza ngapi ?Tuacje usha iki maandazi, nazungumza kama mshabiki wa simba..
Assist ni nini, pasi ya mwisho ambayo inaenda kuleta goli, vipi kama unapiga pasi nzuri na bado mtu akashindwa kufunga!? Tukudharau.. Umepiga pasi 3 nzuri mtu kakosa na mwingine kapiga pasi 1 imekuwa goli, huyu aliyepiga 3 tumdharau, mimi ni muumini wa "chances created" kuliko"assists"..
Na ndio maana ikaitwa team, ukipata mtengenezaji nafasi, upate na mtumiaji nafasi, unapiga pasi nzuri sarpong yeye na kipa anakosa, hili ni tatizo pia.
Kwangu tukiweka ushabiki pembeni, kisinda, mukoko na yule mburundi ntibazonkiza ni wachezaji haswaa..
Kazi ya kisinda tumeiona wenzie wamemuangusha
Eeeeh [emoji848]View attachment 1861870
Mwamba futa paragraph ya mwisho Utopolo wakiona hii Kigoma watasumbua sanaTuisila Kisinda Mchezaji mzuri, tatizo lake dogo ni pasi ya mwisho, Mara nyingi anainua mpira juu sana kiasi unavuka upande wa pili wa Gori. Akifanyia kazi hilo na kupiga mpira mingi ya chini na kwa nguvu anaweza kuwa hatari zaidi.
Kingine Yanga wamjaribu kimtumia kiwa anatokea katikati kwa mfumo wa Counter attack. Anaweza akasumbua sana
Ile mechi ambayo mlihonga wachezaji baadhi wa yanga auUnakumbuka mechi ya nusu fainali kombe la shirikisho alichowafanya ?
Ni kweliUkiona hivyo mmoja kaiyao hajui hili
UKUBWA wa Uwanja
1.chama anajua pichi ikoje ndomana hakimbii sana Ila mitegoyake nihatari
Kwa lugha nyingine ukiujua pichi lazima positioning yako inakua zuri
Matokeo yake ndomana hayo yalipelekea tofauti hiyo
2.huyu kisinda hajui uwanja kwamana ya pichi unamita ngapi mana positioning inahitaji ujue eneo
Hivyohivyo ukutaka kugonga mkewamtu kikubwa kuwini kwenye POSITIONING mgongwaji hua hata hajui position ninn
Mwanaume mgongaji ukikosea hapo kwenye positioning
Umekwisha
Kumbe timu lenu linahongwa ?Ile mechi ambayo mlihonga wachezaji baadhi wa yanga auView attachment 1861921
Teh teh tehMwamba futa paragraph ya mwisho Utopolo wakiona hii Kigoma watasumbua sana
Kujificha kwapani ndio hukuTeh teh teh
Mbona Messi Na Ronaldo wanalinganishwa?Huwezi kufanya ulinganisho wa wachezaji wawili wanaocheza nafasi tofauti, hii ni sawa na kufanya ulinganisho kati ya kahaba na malaya, ni watu wawili tofauti ingawa wayatendao yanashabihiana. Chama ni kiungo mshambuliaji (namba 10) wa Simba wakati Tuisila ni winga ya kulia (namba 7) ya Uto, wanamajukumu tofauti.
Luc Eymael anasema YANGA NI MBWA NA NYANI. HAWANA AKILI. NMEAMINI. MORRISON HACHEZI SIMBA. KACHEZA KAMALIZA LIGI. Sasa mtapewa hoja nyingine mhangaike nayo. Simba mabingwa mara 4 MFULULIZO. CAF,CAS,FIFA WOTE WANAIBEBA SIMBA. Yanga inabebwa na Mzee Mpili kama Mambwa au Nyani mnapiga tu kelele... Simba wanabeba Kombe ninyi mnabeba wachezaji. Hamwezi kuwa na akili.
CAF wamemchukua katika 11th yao. But sasa Simba imechukua Ubingwa wa VPL. Yanga wamekuwa washindi wa Pili kwa miaka 4 mfululizo Yanga nao ni underdogs. So Yanga wao wana matches mbili tu ktk msimu. Wanapocheza na Simba. Ni kawaida kwa Underdogs kukamia team kubwa ndo maana wakitoka hapo unaona wanakuwa na uchovu bado. Simba Mabingwa wa VPL yenye team 18 na yanga ikiwepo. Na Chama ana assists 15. Yanga kwa nini hamjifunzi? Mnakalia tu uchawi. Nyie kweli Manyani na Mambwa
Huyu amethibitishwa na Kocha wao kuwa Ni Mbwa na Nyani. ππππππUtamtoa damu muache kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]