Hili suala la Tuisila Kisinda na Clatous Chama linanishangaza

Akamuulize Onyango na Zimbwe zile mbio anakimbilia nini?
Chama, Zimbwe, Onyango... Hawana mbio, lakini wanatumia hesabu na akili sana. Unaweza tembea lakini umepiga hesabu mpira utaupeleka wapi, kuliko kukumbia bila dira.
 
Kwanza wanacheza nafasi gani tuanzie hapo
Vijizee vya ccm huwa mna tabu sana
 
Kwani assists zenyewe zinasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…