Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.

Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala.

Tazama picha ya Bruno Fernandez akiwa kavalia kitambaa chenye rangi ya upinde wa mvua.

A9744EB6-6601-484B-9ADA-ED091653E55F.jpeg
 
Sio kuunga mkono tu ushoga, pia kutambua haki zao, maana wapo. Bora wenzetu wameamua kuwatambua na kulinda haki zao, kuliko sisi tunapinga ushoga na kutotambua haki zao wakati wapo kibao kila mji hapa nchini.

Kama mtu kaamua kubomolewa mipango mwacheni abomolewe, kama jimama limeamua kuolewa na jimama lenzake yaache yaoane.

Haya mambo hayazuiliki tena na utandawazi huu!
 
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.

Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalarishwa tayari ama limekaaje hili suala.

Tazama picha ya Bruno Fernandez akiwa kavalia kitambaa chenye rangi ya upinde wa mvua.

View attachment 2026518
Ggg
20211128_234718.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa msituhalalishie uyanga wa uyanga kweliigiyetu ibakie hivohivo yanga na epl
 
Ndo maana mvua sinakataa kunyesha!
🤣 🤣 🤣 zinakataa kwetu kwao mpaka barafu inamwagika. Haja jamaa mashoga sijui lesbians wana ushawishi mkubwa sana kila siku wanazidi kukua na hawaguswi hata kama huwakubali ila waseme chumbani kwako tu public huko usijaribu, Museveni tu alijaribu akapiga reverse haraka.
 
Mkiambiwa ibada kubwa ulaya kwa sasa ni mpira muwe mnaelewa. Mpira umekuwa ukiabudiwa sana zaidi ya burudani. Viwanja vinajaa watu kuliko ibada za makanisani. Sasa huko ndiko zinakopitishwa ibada za kishetani na kueneza ajenda za ushoga kwa wingi maana mpira umekuwa na wafuasi wengi duniani ngoja waoneshwe hayo mambo waziwazi
 
Unafki mwingi ndo maana hatuendelei sio kwenye Vita ya rushwa Wala umaskini Wala huo ushoga mnaojidai mnaupinga kumbe nikitu kikubwa ambacho kilichobaki ni ulinde familia yako ..... Na mwisho wa siku Kama kitu hukipendi usidhani Kila mtu duniani atakuwa na mtazamo Kama wakwako
 
Asee! hii ishu inatia kinyaa kwa kwel.. kazi tunayo. Eh Mungu najua unatuskia tuondolee hiz roho chafu
 
Back
Top Bottom