nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.
Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala.
Tazama picha ya Bruno Fernandez akiwa kavalia kitambaa chenye rangi ya upinde wa mvua.