GggWajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.
Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalarishwa tayari ama limekaaje hili suala.
Tazama picha ya Bruno Fernandez akiwa kavalia kitambaa chenye rangi ya upinde wa mvua.
View attachment 2026518
🤣 🤣 🤣 zinakataa kwetu kwao mpaka barafu inamwagika. Haja jamaa mashoga sijui lesbians wana ushawishi mkubwa sana kila siku wanazidi kukua na hawaguswi hata kama huwakubali ila waseme chumbani kwako tu public huko usijaribu, Museveni tu alijaribu akapiga reverse haraka.Ndo maana mvua sinakataa kunyesha!
Rainbow Laces is supported by companies committed to making sport everyone's game. Find out who they are. LGBTQ+ people on why they love their sport. Hear from athletes, coaches and sports fans about how LGBTQ-inclusive sport can change lives.View attachment 2026535Miguu ya nani hiyo...!?
Siyo Bruno pekee, kila nahodha wa timu ya ligi kuu nchini Uingereza, wiki hii alivalia kitambaa cha namna hiyo.