Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

ustukane mamba kabla ya kuvuka mtu, ss kama wazaz wa badae ama tumeshakuwa wazaz tayari tuweke akiba ya maneno. Jifunze kuwa na hekima kubwa katka kuzngumza, hakuna mzaz au ndg anyependa jambo lislo la kawaida limtokee.

ss sote s wakamilifu tujarbu kujizuia katka mazngmzo yetu, hujafa hujaumbika lolote linaweza kutokea. Sjawah kudharau uamuz wa mtu, kam me snyw pombe haimaanish nichukie walev au nisiambatane nao.

Tuheshmu maamuz ya kila mtu maana ana uhuru wake, dunia n yetu sote na wakutuhukumu n Mungu peke yake na s mwngne yeyote.
 
sikuwah kujua rainbow colors n rang yakibwabwa je n nan huwa wanatunga hiz rang kuwa rang flan n za machoko
 



 
Kwa nini yasitokee maandamano dunia nzima kupinga ushoga? Ushoga ni tishio kwa familia zenye maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…