Calis10
JF-Expert Member
- Jun 27, 2020
- 406
- 1,165
[emoji23][emoji23][emoji23] hapa imefanyaje!?Ndio maana sijakomenti chochote kwenye huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapa imefanyaje!?Ndio maana sijakomenti chochote kwenye huu uzi
Kwanza watakupigia fitina mtandaoni hadi utaharibiwa soko lako.Hivi ukigoma kuvaa wanakufanyeje mana ufala ujue
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.
Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala.
Tazama picha ya Bruno Fernandez akiwa kavalia kitambaa chenye rangi ya upinde wa mvua.
View attachment 2026518