Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Kabisa.Mambo ya kukaribisha wafugaji madhara yake ndio haya
Mzee mie nipo huku Tunduru mambo wanayofanyiwa wafugaji pia sio haki kabisaaa , fikiria diwan na viongozi wengine wanakuuzia eneo unalipa hata ng'ombe ishirini alafu baadae wanakwambia umevamia eneo la mtu , vipi ingekuwa weweMambo ya kukaribisha wafugaji madhara yake ndio haya