Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,480
- 38,367
Wakuu habari!
Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga!
Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro!
Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza operesheni ya kuisafisha Dsm na kero ya Wamachinga! Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hawa watu wataenda wapi, sasa cha kujiuliza pia kabla ya hapo walikuwa wapi? Hizi biashara za kufanya mbele ya maduka ya watu sijui ni ustaharabu wa wapi kwa kule kariakoo!
Kama Chalamila ataenda kufanikisha hili basi historia itaendq kumkumbuka, sio lazima kila mtu awe mchuuzi barabarani, hii nchi bado ina shughuli lukuki za kufanya!
NB: Deadline ni October 24, ngoja tuone kipi kitajiri..ila hii safisha safisha ni ya kuungwa mkono na kila yeyote anayependa maendeleo ya miji yetu!