Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wamachinga wanavuna walichopanda kwa kudanganyika eti hawataguswa kisa wameipigia kura ccmKasome sheria na kanuni za miji na majiji ndani ya serikali za mitaa.
Mwenyekiti hapo alikosea sana ingawa hakukuwa na mtu wa kumkosoaKwani si watengewe sehem zao za kufanyia biashara, Serikali ilikosea mwanzo kuwaachia
Ni mtu mjinga mjinga tu atafikiri machinga wana haki ya kufanya chochote wanachotaka jijni.Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea.
Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu.
Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia jibu lake
Hili limekuwa gumu hata kuanzishia space na mijadala kule clubhouse. Maana linauma kote kote.
Mqenyekiti wenu alikuwa anasema machinga waachwe wafanye biashara zao maana walimchagua.Ni mtu mjinga mjinga tu atafikiri machinga wana haki ya kufanya chochote wanachotaka jijni.
Miji haikujengwa kwa ajili ya machinga, na eneo la watembea kwa miguu na mitaro si maeneo ya biashara.
Mbaya zaidi machinga halipi kodi wala kuchangia maendelo ya Taifa zaidi ya kuwa kero.
Sijui kizazi hiki kilicholaaniwa mtaelewa lini mantiki hiyo?
Wamachinga waondoke kabisa hawatakiwa hapo. Watu watakafanya vipi biashara za barabarani?Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea.
Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu.
Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia jibu lake
Hili limekuwa gumu hata kuanzishia space na mijadala kule clubhouse. Maana linauma kote kote.
Wala sio sababu hiyo kwani , kwani siku zote walikuwa wanalipa kodi, hiyo sababu eti machinga yupo mbele yangu ki kodi haina mashiko, kwani kodi hutozwa kulingana na mauzo yako.Kwani miaka hiyo 5, ya mwendazake si walikuwa wakilipa kodi tu licha ya vulugu za machinga?japo kwa tabu sana!!Kwa upande wangu nahisi wanataka kuwabana wafanya biashara wakubwa wenye maduka kulipa Kodi Sasa ili kusiwepo malalamiko sijui machinga wapo mbele yetu tunashindwa kuuza kazi Moja sasa lipa Kodi
Ule wa mwendazake ni utapeli wa kisiasa na si endelevu.Mqenyekiti wenu alikuwa anasema machinga waachwe wafanye biashara zao maana walimchagua.
Kati ya waliokuwa wanamshangilia mwenyekiti wenu ni wewe .
Leo hii umemgeuka tayari kisa hayupo duniani?
Amakweli tenda wema nenda zako.
Ina maana umeamua kujitoa kutoka kwenye kundi lenu maarufu?Ule wa mwendazake ni utapeli wa kisiasa na si endelevu.
Onyesha nilipomshangilia, kwani mi Skm gang?
Pamoja na kuwa mskm?
Mimi bado CCM kada kinda kinda, ila si wa kununuliwa na Bashiru wala Polepole, waliovamia mji na wembe wakati wenye shoka tupo!!!Ina maana umeamua kujitoa kutoka kwenye kundi lenu maarufu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umeongea ukweeeeriiiiii maana msema kweeeeriiiii ni mpenzi wa Mungu.Mimi bado CCM kada kinda kinda, ila si wa kununuliwa na Bashiru wala Polepole, waliovamia mji na wembe wakati wenye shoka tupo!!!
Rais JPM, ambae aliwahi kuwa waziri wa mabarabara, alisema "hakuna sheria inayozuia kufanya umachinga barabarani." Alikuwa anakosea ?Kasome sheria na kanuni za miji na majiji ndani ya serikali za mitaa.
Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea.
Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu.
Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia jibu lake
Hili limekuwa gumu hata kuanzishia space na mijadala kule clubhouse. Maana linauma kote kote.
UGUMU upo wap broo?
we huoni DAR inavyopendeza kwa sasa?
si wametegewa eneo? waende huko...