Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] usikubali mzee baba mkomalie hadi mwisho, anakupetije aseme hakumaanisha[emoji1318]
WAKUU,
KWENYE MA_GRUPU KUNA MAMBO YA KIBOYA SANA!!!
UNAKUTA MTU ANAKUITA MAJINA MAZURI_MAZURI MPAKA UNAONA HAPA SASA ND'O WAKATI MWAFAKA WA KUFANYA MICHAKATO YA KIBAHARIA-
UKIENDA INBOX KUTENGENEZA MUSTAKABALI,
ANAKWAMBIA YE' HAMAANISHI HIVYO,
BALI ANACHANGAMSHA GRUPU TU.
INAUMA HIYO WAKUU!!!
SHENDHI!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji1318]
WAKUU,
KWENYE MA_GRUPU KUNA MAMBO YA KIBOYA SANA!!!
UNAKUTA MTU ANAKUITA MAJINA MAZURI_MAZURI MPAKA UNAONA HAPA SASA ND'O WAKATI MWAFAKA WA KUFANYA MICHAKATO YA KIBAHARIA-
UKIENDA INBOX KUTENGENEZA MUSTAKABALI,
ANAKWAMBIA YE' HAMAANISHI HIVYO,
BALI ANACHANGAMSHA GRUPU TU.
INAUMA HIYO WAKUU!!!
SHENDHI!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
NI LAZIMA TUKEMEE HII TABIA MKUU !!!Jamiiforums inapitia kipindi kigumu sana
ND'O NIKO HAPA NAMTOLEA POVU INBOX.mwambie asikutumie wewe kuchangamsha gruop
ND'O NAENDELEA KUMKOMALIA,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] usikubali mzee baba mkomalie hadi mwisho, anakupetije aseme hakumaanisha
MKUU,Soma umalize shule kijana haya mapenzi yapo tu
YA MITANDAO MINGINE NA HII FORUM IKIWEMO MKUU.Una uhakika hayo magroup yapo humu Jf
BILA SHAKA UMEVUTA BANGI WEWE,ID yako inasoma 2013 sikutegemea unaweza kua naubongo marijuana kiasi hiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ko wewe hio ni hojaBILA SHAKA UMEVUTA BANGI WEWE,
MAANA'KE HAUNA HOJA !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiitwa Baby anapagawa.. nilikuwa naishi karibu na hostel za TIA mbeya aisee wale wadada wakianza kukuita majina matamu utasema unagongaa keshoo kumbe[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]ID yako inasoma 2013 sikutegemea unaweza kua naubongo marijuana kiasi hiki
Afu inaonekana huyu jamaa anatumia ID ya mtu haiwezekani mtu wa 2013 awe nauandishi wanamna hii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiitwa Baby anapagawa.. nilikuwa naishi karibu na hostel za TIA mbeya aisee wale wadada wakianza kukuita majina matamu utasema unagongaa keshoo kumbe[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
itakuwa ni mtoto bado[emoji23][emoji23][emoji23] Me chuo kuna demu tulikuwa tunaitana Mpenzi lakini hata kumkiss sijawahii[emoji23][emoji23][emoji23]Afu inaonekana huyu jamaa anatumia ID ya mtu haiwezekani mtu wa 2013 awe nauandishi wanamna hii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikua unaishi karibu Na transformer afu umeme wanapata wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa ni mtoto bado[emoji23][emoji23][emoji23] Me chuo kuna demu tulikuwa tunaitana Mpenzi lakini hata kumkiss sijawahii[emoji23][emoji23][emoji23]